Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pitia account ya kigogo anapost kila siku usituchoshe kuna mambo mengine ya kufanya kwa hili taifa.
Subiri atatoa report kamili yenye majina na hadi walipozikwa wewe BUMUNDA.Huyo KGG ndio nani? Babaako? Hao watu 1200 mmewazika majumbani mwenu? Hawana ndugu?
Pumbavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu pia ni ugaidi mkuu, wa kusema chapeni kazi huku we umejilockdownSasa kwa nini taarifa zifichwe maana watu hawauwawi na serikali
Mbona aljazeera mnatuchanganya jamani kwanza nyie taarifa zenu huwa ni za ugaidi tupu sasa huku kwenye civid mmefikaje wapwa
Kwahiyo unataka kusema mara ya kwanza waziri wa afya aliipotangaza wagonjwa wa covid 19 na mara ya pili tena waziri wa afya ilipotoa taarifa kuhusu wagonjwa wapya wa covid-19 akili yako haikuweza kuona kama idadi ya wagonjwa wapya ilikuwa imeongezeka? Mwanzoni serikali ilikuwa inakaa kwa muda gani kisha wanatoa update? Kwanini saivi wakae zaidi ya wiki mbili pasipo kutoa update za wagonjwa wa covid-19?maambukizi mapya au mengi utayajua baada ya taarifa.
kwani unafahamu majibu ya sample moja yanatoka baada ya muda gani???
Hawawezi kuanzisha jukwaa la namna hiyo, hata hivyo ukimya wa serikali uliopo sasa hivi ndio unasababisha yote haya, hiyo taarifa ya aljazeera hakuna atakaeijibu, na kama ujuavyo uongo ukisemwa sana watu huamini kuwa ndio kweli yenyewe.siku hizi mtu asife basi hiyo ni corona.
na mods wako mbioni kuanzisha jukwa la vifo soon.
Udaku habari hii au Udaku Aljazeera? Na kama ni udaku kwa nini familia ya marehemu Jaji Kwikima isikanushe maana ndio imekotiwa hiyo habari?Udaku tu huu
Sasa kwa nini taarifa zifichwe maana watu hawauwawi na serikali
Mbona aljazeera mnatuchanganya jamani kwanza nyie taarifa zenu huwa ni za ugaidi tupu sasa huku kwenye civid mmefikaje wapwa
Yaan sikujua kama Aljazeera ni vilaza namna hii, lol,'Natural death' si ni kifo cha ugonjwa wowote?
Kwani kama ni malaria wanaandika malaria?
Hata hivyo vifo vinavyosababishwa na covid19 ni vingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
inaaminika?
Sasa kwanini mnafanya siri na kusema vifo ni 16 tu?Sasa 256 ndio wanatushadadia namna hii? Mbona USA kuna vifo zaidi ya 80,000?
Magu voice
Itacost nini? Kwan vifo viko Bongo tu hapa shehe? Ugonjwa siyo kwamba uko kwenu tu japo upo.Yani ukiangalia comments za Watanzania huko fb kwenye bbc swahili au kwenye media zingine hata hapa kwneye hii thread.
You will realize that many are stupid.
Yani wanavishambulia vyombo vya habari kuwa vinatumika.
Its nonsense.
Sasa hicho kitabu mazishi ya covid 19 aljazeer watunge kwa faida ya nani hasa.
Kiufupi Tanzania inaficha data and it will cost us all
Nikafikiri una mifano kumbe ni yaleyale ya da mange kasemaPitia account ya kigogo anapost kila siku usituchoshe kuna mambo mengine ya kufanya kwa hili taifa.
So what's your point idiot?