Kule hakwenda likizo kaikimbia corona Dodoma na Dsm kwani wasaidizi wake wanaishi mitaani anahofia kumletea corona toka majumbani mwaoKwani likizo ya mzee inaisha lini? Kama korona haipo arudi ofisini.
Naibu Rais Daud Bashite ameruhusu vijiwe huko kwenu Dsm ili msongamane kwenye mabenchi muambukizane kwa wingi mfe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu na pia waje kupata pesa nyingi WHOBarakoa kazi yake ya kwanza ni
1. Kuzuia usiambulize wengine.
Kazinya pili ndio kukukinga
Kwa namna hiyo barakoa ilitakiwa kuwa ji lazima ili watu qasiambuiize wengine.
Wengi tunavaa kijikinga
Wewe kaa ukiamini watu hawafi akifa ndugu yako ndipo utaaminiTutaamini vp na hivyo vyombo vya nje au hapa tunachagua wa kumuamini na si kuangalia uhalisia wa kinachosemwa? Hebu vuta picha kama sie wenyewe tu ambao ndio tunaishi hapa Tz ila tunatofautiana kwenye vifo vya corona wengine wanasema watu wanakufa sana wengine hawaoni hao watu wanaokufa sana na wote tunaishi nchi mmoja,sasa hivyo vyombo vya nje nao tutawaamini kwa lipi?
Mkuu, Amana hosp wagonjwa wote waliondolewa. Pale ni kituo cha Corona tu.Hii habari haiwezi kuwa ya kweli!! Hakuna kitabu cha kurekodi watu waliokufa na corona tu!! Kinarekodi marehamu wote. Kwa hiyo huyo mzee alikuwa ni marehemu wa 256 katika orodha ya kitabu hicho. Ni vifo vya magonjwa mbali mbali mbali. Uongo uko hapo!!
Tatizo sio watu kufa Bali kufa wengi kwa kiasi ambacho watu wanakisema halafu hii hoja ya kusema sijui hadi ufiwe na ndugu ndio uamini watu wanakufa ni hoja isiyo na mashiko.Wewe kaa ukiamini watu hawafi akifa ndugu yako ndipo utaamini
Wewe ni mtu wa tano kunitukana!Kwa nini CCM hawawezi kujenga hoja?Mna laana?
Utashangaa hata hivyo 256 bado serikali ya kiongozi wa malaika inaficha,Mkuu pia hiyo ni Ilala tu,ukiweka kinondona,temeke na ubungo Kisha ukaongeza mkoa, Strategies na mtukufu zipo vizuri sanaSasa 256 ndio wanatushadadia namna hii? Mbona USA kuna vifo zaidi ya 80,000?
Magu voice
Kwani wananchi wanaokufa wako wapi? Ikulu?Sasa kumbe wamehoji wananchi wa mitaanj kama kigogo unategemea nini?
Kama tuputupu anafuraha jina la babake kuwemo na anaona sifa ulitegemea nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo ni ilala pekee ujuehawa waarabu nao kwa udaku hawajambo.
kwanini hawajapngeza kidogo wafike 500??
Mkuu achana na huyo mwendawazimuNdivyo mnavyojifajiri eee. Sasa tulijenga ya nini Ikulu kama hata nyumbani ni ofisi na ni Ikulu? Yeye ni mtumishi wa umma au wa familia? Watumishi wote wa umma hutumia ofisi za umma kuwatumikia wananchi. Basi na sisi tutoke ofisini turudi kwetu tukafanyie kazi za serikali nyumbani
Sasa serikali Kama haijawaua kitu gani kinasababisha huu usiri?Au hata mtukufu akiondoka kwa corona mtaficha ili afufukeMleta mada kilaza tu
Sasa kama wamekufa watu serikali ndo imewauwa?
Huko USA hawafi? au USA serikali haijachukua tahadhari?
Mnapenda kufata propaganda za wazungu ili kila siku muone nyie mnakosea.
Hao wazungu wangekuwa wanatupenda wangetengeneza hayo majanga? Mbona wanaua watafiti wa Corona?
Nendeni mkaolewe kwa wazungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hiyo article ipo clear kasome tenaJina la 256 kati ya waliokufa covid au ya total number of death kwenye hiyo hospital.. Maana siamini kwamba walifungua daftari jipya kwa ajili ya covid.. Na akienda makaburini akakuta jina la marehemu wake ni la 2115 atasemaje?
Watu wa maabara kila mgonjwa wa corona sasa wanamwandikia Negative kwa kuogopa kupelekewa mapapai mbuzi ni ni hatari sana maambukizi ni makubwa sana vijiweni ndipo kiwanda cha maambukizi makubwa kwa baraka za Naibu Rais Daud Bashite baada ya kukatazwa kuongelea corona kaamua kuwakomoa waliomkataza kwa kuhimiza wenyeviti wa Serikali za mitaa waachie mikusanyiko misongamano vijiweni vibarazani watu waambukizane kwa wingiMimi Ni Mtumishi Wa Afya Nipo Kwenye Hiki Kitengo cha kupambana Na COVID-19 Mkoa X , Kikubwa Tuchukue Tahadhari Hali Ni Mbaya Sana Sana Sana. Si Mnasikia Maabara Ipo Kwenye Marekebisho Maabara Ya Taifa? Sahizi Kila Kipimo ni NEGATIVE. Mbaya Zaidi Sahizi Hata Ukiwa Suspected Unaruhusiwa Kwenda Nyumbani Na Kujichanganya Na Watu Hakuna Kitu Kinaitwa QUARANTINE kwa Tanzania (Only In Tanzania), Jiulize China Walifanikiwa Kumaliza Huu Ugonjwa Kwa QUARANTINE lakini Tanzania Sisi Tumefuta Hiyo Kitu Unategemea Maambukizi Yapo Kwa Kiasi Gani?
Waziri Wetu Wa Afya Amepumbazwa na Madaraka Anaogopa Kutumbuliwa Ila Ukweli Hali ni mbaya
Mkuu Mungu akijaria baba au mama yako akifa usisahau kutuwekea cheti Cha kifo chake hapa jamviniHuyo mwananchi si angdweka cheti cha kifo?
Cheti cha kifo kinaeleza sababu ya kifo cha mgonjwa
Tusilishane.matango pori