Hivi hawa waarabu nao tunaweza kuwaita mabeberu au wao tuwatafutie jina jingine? nakumbuka enzi zetu Kenya alileta tafrani kidogo tukamwita "Nyang'au akanyamaza halafu Idi Amin naye akaleta zake tukampa neno Nduli akasota nalo mpaka akapotelea uarabuni je huyu Jamshudin tumwache kwenye ubeberu au tumtafutie size yake?
Unataka mje msingizie kuwa anahujumu uchumi kwa kumpandikizia 23g of cocaine?Huku mitandaoni kila mtu anaongea analotaka kuongea na bila kumjua ni nani.
Yaani nyie mnabahati gani kuwa pamoja na watanzania wengi kukubwa na corona na vifo kuwa wengi kwenye ukoo wenu hakuna hata mmoja? Mnakaa kisiwa gani mkuu? Inaelekea huko ni salama kuliko white house?Namshukuru Mungu tuko salama.
Kadiri maambukizi yanavyozidi kuenea, yeyote kati yetu ataambukizwa soon. Usisubiri uguswe na msiba ndo uanze kuongea
Mkuu utaratibu ni kuwa mtu alifariki pale hospitalini hupewi mwili hadi vipimo vifanyike na wajue nini ilikuwa shida.Baba mwenye nyumba wangu tulisubiri majibu for three days ndo tukapewa majibu kwamba corona ndo ilikuwa sababu ya kifo chake na kwa maana hiyo akazikwa na serikali pale ununio.Sasa Kama watu wanapewa majibu na serikali yanayosema Ni coro a na nyinyi CCM hamtaki corona isemwe kwa sababu mnazozijua ninyi basi, subirini ndugu zenu wafe ndo mtajua corona ipo na inauaKwani mie nashabikia corona?
Huyo alieaema babake kafa kwa corona aweke cheti,msifanye watu wajinga,kila marehemu anaefia hoapitali lazima apate tangazo la kifo,ambalo kunaelezwa chanzo cha kifo,kusanyeni basi hayo matangazo mtuwekee
Wewe ulitaka wakusanyane wafanye Nini? Wagome ndugu zao kufa?Inaonesha hao wanaokufa kwa corona kwa kiasi hicho wengi ni watu wasiojulikana kwa maana hata ndugu wala jamaa hawana, maana haiwezekani watu wafiwe na ndugu zao kiasi hicho halafu kusiwe na taharuki wakusanyane na kuendelea na shughuli zao bila hofu kama hakuna kilichotokea.
Na wewe unasema kitu gani sasa hapo, ikiwa unaamini Watanzania wengi wanacorona na wengi wanakufa! Unataka awe miongoni mwa Watanzania wengi wepi sasa Wakati walio wengi Kwa mjibu wa maelezo yenu kwamba Wana kufa, wanamaambukizi?Yaani nyie mnabahati gani kuwa pamoja na watanzania wengi kukubwa na corona na vifo kuwa wengi kwenye ukoo wenu hakuna hata mmoja? Mnakaa kisiwa gani mkuu? Inaelekea huko ni salama kuliko white house?
Nikupe Elimu kidogo...Muingiliano wa watu wa Marekani na Mataifa yaliyo pata maambukizi mengi .Mbili Wamarekani mwenyewe wana maisha ya kuchangamana sana mfano ufukweni,michezo kama NBA,RUGBY,FOOTBALL nktanzania inaingia us mara 6 kwa idadi ya watu.
haya piga mahesabu yako sawa sawa baada ya kufuturu,ujue nani ana wagonjwa weng kwa kila kundi fulani la watu.
Ubongo wako unanisaidia nn kwa mfanoMatumizi mabaya ya ubongo wako
Nilitegemea wingi wa vifo vya ndugu zao vingewatia hofu na kuona uhatari wa corona na hivyo kuogopa kukusanyana hovyo na kuendelea na shughuli zao kama hakuna kilichotokea,hebu itizame kariakoo jinsi watu wanavyofanya shughuli zao kama kawaida halafu et kumbe wameshazika mamia ya ndugu zao kwa ugonjwa hatari usio na dawa na wenye kuambukiza.Wewe ulitaka wakusanyane wafanye Nini? Wagome ndugu zao kufa?
Nikiangalia zile mishemishe za watu pale kariakoo huwa najiuliza hivi wale jamaa hawajafiwa na ndugu zao nini?Ninachojua ugonjwa wowote haufanyiwi mzaha maana ni hatma ya MTU kuendelea kufurahia dunia hii ama kwenda kaburini.
Kwa wale wanaofikiria hili tatizo ni dogo kiasi hicho basi pia waendelee kujiuliza yule bwana mkubwa mbona ziara zimekata ghafla hayupo Dar wala Dom, kajifungia Chato siku ya 50 hii. Jiongezeni
Ni mpumbavu tu atakayeendelea kufikiria watu hawateketei kwa Corona kama ndugu yako wa karibu halijamtokea si busara kukejeli wale ambao matatizo ya kufiwa kwa janga hili yametukumba.
Tuendelee kuchukua tahadhari maana hili haibagui haichagui, afya haiiitaji porojo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga wengi ndani ya JMT.Sasa kumbe wamehoji wananchi wa mitaani kama kigogo unategemea nini?
Kama tuputupu anafuraha jina la babake kuwemo na anaona sifa ulitegemea nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
hii elimu kaa nayo tu.Nikupe Elimu kidogo...Muingiliano wa watu wa Marekani na Mataifa yaliyo pata maambukizi mengi .Mbili Wamarekani mwenyewe wana maisha ya kuchangamana sana mfano ufukweni,michezo kama NBA,RUGBY,FOOTBALL nk
Tatu ..Marekani sehemu kubwa imekua mini
Mwisho tofautisha zise ya eneo na zise ya population.
Huyu mfiwa anatumiwa na mabeberu!! Si kila ugonjwa una daftari lake LA kuorodhesha vifo, yaani daftari LA waliokufa na malaria, daftari LA waliokufa kwa kipindupindu, daftari LA waliokufa kwa corona, nk. Daftari lipo moja tu kwa kuorodhesha vifo vyote. ni kifo tu! Kwa hiyo kwenye orodha ya vifo mbali mbali jina LA baba yake lilikuwa la 256. Jamani kifo huwezi kukifanya siri!! Kuna ndugu jamaa na marafiki utawafichaje? Hawa waMbowe wanaodai vifo ni vingi watoe majina ya marehemu na majina ya wafiwa kama ushahidi. Kama wanataka vifo basi wavisubiri kwenye familia zao!¡ huyu Sababu ya kifo huonekana Huyu mfiwa asifanyie biashara kifo cha baba yake!Duh..........
Na bado hawa akina Kasim Majaliwa na Ummy Mwalimu wanatuambia kuwa waliokufa ni 16 pekee!
Wacha nchi zote za jirani zitufumgie mipaka yao, ili na sisi tuanze kuonja machungu ya kuwa "isolated"
Mkuu wewe upo Kariakoo au unapasikia tu? Ni mtu gani mwenye akili zake timamu umeona anaenda Kariakoo kununua kitu?Nilitegemea wingi wa vifo vya ndugu zao vingewatia hofu na kuona uhatari wa corona na hivyo kuogopa kukusanyana hovyo na kuendelea na shughuli zao kama hakuna kilichotokea,hebu itizame kariakoo jinsi watu wanavyofanya shughuli zao kama kawaida halafu et kumbe wameshazika mamia ya ndugu zao kwa ugonjwa hatari usio na dawa na wenye kuambukiza.