Hivi hawa waarabu nao tunaweza kuwaita mabeberu au wao tuwatafutie jina jingine? nakumbuka enzi zetu Kenya alileta tafrani kidogo tukamwita "Nyang'au akanyamaza halafu Idi Amin naye akaleta zake tukampa neno Nduli akasota nalo mpaka akapotelea uarabuni je huyu Jamshudin tumwache kwenye ubeberu au tumtafutie size yake?
Napendekeza kazi hiyo ya kutafuta jina akabidhiwe mzee baba.
Hilo jukumu ni vyema likawa ni nyara za serikali kama zile takwimu za ugonjwa.
Au unaonaje mkuu?