hapana sasa hivi inacheza kwenye 23000,kumbavu kabisa wewe jamaa.Hivi kuna watu hawaamini kuwa corona imeua watu wengi sana? Na hiyo list ilikuwa ni April. Sasa hivi idadi imeenda na kwa nchi nzima imeshapita watu 1000 waliofariki.
Asante Aljazeera... Vifo Ni zaidi ya 256 vya Corona hapa Tz...
Nasubiri Ummy akanushe hii habari
siwezi jua maana pakikucha na makaburi yanayeyuka.Mzishi ya kufanyika usiku utajua wapi ????
nyokoooKikowapi icho cheti?
Mazishi ya usiku na jamaa zao hawako utajuaje kama kila kaburi wanazika maiti nyingi???siwezi jua maana pakikucha na makaburi yanayeyuka.
mnadhani uzikaji wa watu ni kama kuzika paka aliyekufa????
Asante Aljazeera... Vifo Ni zaidi ya 256 vya Corona hapa Tz...
Nasubiri Ummy akanushe hii habari
INGAWA INGAWA SERIKALI INA WALAKINI KUTANGAZA IDADI YA VIFO LAKINI KWA IDADI HIYO KWA AMANA PEKE YAKE AKILI YANGU INAGOMA KUKUBALIANA NA HILO!
huko mbeleni,matokeo yatakuwa haya hapa.Kwa hiyo Waarabu ni wadaku
Wazungu mabeberu
Chadema wahuni
Ngoja tuone huko mbeleni mtamshutumu nani
Unadhani kwa nini kuna mtu kajifungia kijijini? Haha anajua vizuri kinachoendelea
Tutakimbiana muda si mrefuhuko mbeleni,matokeo yatakuwa haya hapa.
lockdown duniani=NIL
death=450000+150 tz