Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

Sasa tofauti yake ni nini?
Kufa kwa Covid au Kufa kwa Presha nini tofauti? Au ikisemekana mtu kafa kwa Covid ndio anaenda Peponi?

Inashangaza sana.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Hili Taifa limefanywa kuwa ni la Wazinza wachache na ccm na mapolisi wao
 
It is Hectic,
 
Mazishi ya usiku na jamaa zao hawako utajuaje kama kila kaburi wanazika maiti nyingi???
unajua kaburi moja ukifukua ukatia maiti,nini kinafuata katika kifusi kilichobaki,achilia mbali kuweka mwili zaidi ya mmoja hapo.

anyway,tunarudi kitaa kwenye maombolezo sasa,au hata taarifa za wapendwa wenu hampatiwi pia!!!!!ah kweli wanawafanyia vibaya sana[emoji25][emoji25][emoji25]
 
Sawa
Je wangekuwa wasiri wakutoa taarifa ungewezaje kujua hivyo vifo vya zaidi ya 80,000?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sawa tumejua idadi yao sasa imetusaidia nini? Au walipotangaza hiyo idadi ya 80000 umewasaidia nni baada ya kujua? Haya sisi tukiwapa idadi ya waliokufa je watatupa msaada wa pesa bure? Au tuwape idadi ili na wao wafulahi kuwa tumekufa?
Sielewi kwa nni mnang'ang'ia jambo hili.
 
Unajua halija kifika na pengine upo huko majuu ambako serikali husika zinapambana usiku na mchana kulinda uhai wa wananchi wao ukiwemo na wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…