mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 760
Hili ni janga, hakuna linalofichika chini ya Jua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuonea huruma huyo mtunza kitabu.Yani ukiangalia comments za Watanzania huko fb kwenye bbc swahili au kwenye media zingine hata hapa kwneye hii thread.
You will realize that many are stupid.
Yani wanavishambulia vyombo vya habari kuwa vinatumika.
Its nonsense.
Sasa hicho kitabu mazishi ya covid 19 aljazeer watunge kwa faida ya nani hasa.
Kiufupi Tanzania inaficha data and it will cost us all
tufanye 1300 au vipi??
au fanya 50000 mjumlishe na mzee mmoja wa kwenu hapo[emoji23][emoji23][emoji23].nyumbu kilema wewe.Imekupata kunakostahili ndiyo maana povu limekutoka. Mpaka minyoo imekorogeka. Ungekaa kimya ningekasirika sana!
nyumbu mnaona ngumi,yeye anaona mahangaiko yao.
majuu ipi labda yenye radha tulivu wakati huu!!!!!Unajua halija kifika na pengine upo huko majuu ambako serikali husika zinapambana usiku na mchana kulinda uhai wa wananchi wao ukiwemo na wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ana faida gani unafikiri?Huyo ambae kaona jina la babake nae angekufa tu maana hana faida kwa inchi isio hitaji wambea na wafitini.
Yani ukiangalia comments za Watanzania huko fb kwenye bbc swahili au kwenye media zingine hata hapa kwneye hii thread.
You will realize that many are stupid.
Yani wanavishambulia vyombo vya habari kuwa vinatumika.
Its nonsense.
Sasa hicho kitabu mazishi ya covid 19 aljazeer watunge kwa faida ya nani hasa.
Kiufupi Tanzania inaficha data and it will cost us all
msiwapangie watu kufikiri kama nyinyi.
au mnadhani kila mtu mpumbavu!!!!!
Naona ulipata mapokezi yaliyo kustahili na uandikacho ndio matokeoNyie chadema endeleeni kulilia watu wafe
Ikibidi muwe mnashida makaburini kupiga picha
Ila mwisho wenu ni October,
Wanazikwa wapi? Mbona video za mazishi sahivi hatuzioni?
Inji hii!!!!
Hivi kwanini waziri mkuu asiamke tu akataja idadi kubwa ya wagonjwa na vifo kisha akanyamaza kimya ili awaridhishe watanzania wanaotaka kujua idadi kisha waje na hoja mpya.
Kila kitu inji hii kiko na siasa motive kuibua ushindi na ushindwa
Wewe ndio mpumbavu hao watz wa huko fb ni wana akili sana kuliko nyie mmejificha na majina fake hapa kumbe kichwani weupe kabisaYani ukiangalia comments za Watanzania huko fb kwenye bbc swahili au kwenye media zingine hata hapa kwneye hii thread.
You will realize that many are stupid.
Yani wanavishambulia vyombo vya habari kuwa vinatumika.
Its nonsense.
Sasa hicho kitabu mazishi ya covid 19 aljazeer watunge kwa faida ya nani hasa.
Kiufupi Tanzania inaficha data and it will cost us all