Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

Km watu wangekuwa wanakufa kwa corona tungeona hali ni mbaya mtaani

Ila mtaani kwetu hakuna taarifa ya msiba wa corona toka hili gonjwa liingie Tanzania
 

Ni nchi mkuu sio inji


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ukizidisha mara 5 mkoa mzima,unapata watu 1000 mpaka sasa.

hawa watu 256 kama wanazikwa sehemu moja ni shamba la hekari kadhaa,sijui kwanini tunakosa picha mpaka sasa!!!!

Usitumie nguvu kubwa kupindisha ukweli au kupambana na Hali halisi...

Hivi serikali inapata faida gani kudanganya raia wake... Na wewe unanufaika vipi ukiwa unadanganywa?
 
Kwendraaaaaa
 
SASA kumbe walitaka waandike kapata ajali au kauawa?!..
 
Kwa nini kwa hawa vibaraka vya mabeberu Tanzania lazima iwe na wagonjwa na vifo vingi kuliko nchi tulizopakana? Kwani ni lazima Afrika iwe na idadi sawa ya vifo na nchi nyingine? Kwa nini wanataka siye tufe zaidi au wana wish kwa kiingereza? Kwa nini watanzania wengi wanawaamini wanao wish siye tuathirike na korona zaidi? Ujinga mwingine unaozesha nchi, where is your pride as Tanzanian? What is your pride as Tanzanian? Oooh, iko kwa wazungu na waarabu! ujinga mtupu.
 
Asante Aljazeera... Vifo Ni zaidi ya 256 vya Corona hapa Tz...

Nasubiri Ummy akanushe hii habari

Hiyo namba ya mwezi wa nne mwishoni, kwa sasa ni mtu kujiongeza itakuwa wamefariki wangapi kwa corona nchini.
 
Unajua halija kifika na pengine upo huko majuu ambako serikali husika zinapambana usiku na mchana kulinda uhai wa wananchi wao ukiwemo na wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe umeshuhudia misiba migapi mtaani kwako maana usisusubili kwenye daftali, uliyoona kwa macho yako? Na kwanini wawe wao tu na wewe kwa nini hujafa?
 
Meko sio mjinga , akili anazo sema maamuzi ayapange vizuri.

Mfano wakati ule anasema tidalimiaane kwa miguu angepiga chini ndege zote za abiria maana yake hakuna mtu kuingia , leo hii Tanzania ingekua salama salmini na hata hizi barakoa tusinge zivaa.

Sasa kinacho fanyika sasa ni bahati na sibu kuokoa uchumi kwa sababu bila kodi miradi karibia yote itasimama.

Kwa bahati mbaya tena wale anaowaletea jeuri ndio wanao mdai na wanao mkopesha.

Kwa vyovyote vile uchumi lazima utayumba kwa sababu mara zote Tanzania itaonekana not certified on covid19

Hajachelewa kuanza kuucheza muziki wa dunia, na akaokoa uchumi.

Jambo moja analo weza fanya ni kuwa kuingia mji wowote lazima barakoa.

Na awe mstari wa mbele ili dunia ijue mzee kaokoka na anashiriki jambo hili kwa ukamilifu.

Mwisho atoke chato .
kwahiyo hata kushiriki kikao na wenzie ameogopa maambukizi mtaani[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa 256 ndio wanatushadadia namna hii? Mbona USA kuna vifo zaidi ya 80,000?

Magu voice
Vifo sio hela ukasema 256 tu hawa ni binadamu hata akifa mmoja lazima kuwe na sababu ya msingi. Hata hivyo jambo jingine hii namba ya USA wameripoti wenyewe sasa hii ya tz mpk Aljazira waripoti.
 

Mkuu wasikupe taabu hao misukule. Wako na ID nyingi mtu yule yule.

Hata ID zingine huwa online 24x7. Wana piga mzigo kwa shift kama wanavyopiga nyungu.

Matusi ni sehemu ya salam zao.

Hawapashwi kukupa pressure hao mkuu.
 
Habari iwe mbaya au nzuri ni lazima kupewa..Sababu ya kuchukua tahadhari..

Mfano dawa imepatikana leo Tanzania itaomba kiasi gani? ya kutosha watu 480?! Maana ndiyo idadi ya Serikali .
 
Usitumie nguvu kubwa kupindisha ukweli au kupambana na Hali halisi...

Hivi serikali inapata faida gani kudanganya raia wake... Na wewe unanufaika vipi ukiwa unadanganywa?
i never though nadanganywa,sifikirii hilo,ili iweje kwanza!!!

nikisema nikubali kwamba nadanganywa akili zangu zinakataa,maana idadi ya vifo itafichwa ila misiba haifichiki.au hapa serikali ya ccm inatumia utaalamu gani kufix hii ishu????
 
Mkuu wasikupe taabu hao misukule. Wako na ID nyingi mtu yule yule.

Hata ID zingine huwa online 24x7.

Matusi ni sehemu ya salam zao.

Hawapashwi kukupa pressure hao mkuu.
msiwapangie watu kufikiri kama nyinyi.

au mnadhani kila mtu mpumbavu!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…