Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

COVID-19 is a natural cause of death, as is any other disease.

The decedent was not diagnosed with COVID at the point of his death. The author of the death certificate was thus correct in specifying the death as natural at that time.

When new information arrived two days later, with posive rrsults, the government was once again well-advised in grouping such remains for COVID specific burial protocols.

A hospital will not ascribe a cause of death for an ailment they were not treating you for, or diagnose you with before you expire. Only a coroner can specify the cause of death posthumously, or a pathologist after an autopsy.

ALJAZEERA's coverage of the events is unfortunately wrong and politicized.
 
Aljazeera ni chombo cha habari chenye credibility kubwa duniani na sio rahisi kuandika udaku.

Kumbe vifo kulingana na kumbukumbu za hospitali zetu kwa Covid19 namba ni kubwa mno kuliko tunavyo ambiwa.

Kama tu Munispal ya Ilala tarehe 30 April namba ilikuwa inasoma 256 je hadi Leo itakuwaje? Haya hivyo ni Ilala pekee, huko Mloganzila, Temeke, Mwanza,Arusha nk itakuwaje?

Halafu bado wananchi wanaambiwa hali sio mbaya waliofariki ni 16 tu, tunamdanganya nani? Usiri huu unafanya watu wasiogope na kuona ni ugonjwa wa kawaida.
Kwanini serikali inatutenda hivi wananchi? na kama habari sio sahihi kwa nini serikali isiwabane Aljazeera kuusema ukweli?
IMG_20200512_174227.jpg
IMG_20200512_174232.jpg
IMG_20200512_174237.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani ukiangalia comments za Watanzania huko fb kwenye bbc swahili au kwenye media zingine hata hapa kwneye hii thread.
You will realize that many are stupid.
Yani wanavishambulia vyombo vya habari kuwa vinatumika.
Its nonsense.
Sasa hicho kitabu mazishi ya covid 19 aljazeer watunge kwa faida ya nani hasa.

Kiufupi Tanzania inaficha data and it will cost us all
Watanzania ni wajinga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikiri na wao wanapika taarifa Kama serikali yenu?
sasa kama serikali inapika,nyinyi pakueni data.

chukueni hao watu 256×5 whole dsm+256 mikoa iliyobaki,kisha mka update taarifa za corona duniani.

halafu tuendelee na shughuli nyingine.haina haja ya kusumbuana mtu asiyetaka yaani au vipi???
 
Back
Top Bottom