GE2025 Mwananchi: Mapema tu, Napiga kura narudi nyumbani kula pilau

GE2025 Mwananchi: Mapema tu, Napiga kura narudi nyumbani kula pilau

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wapiga kura wamepanga foleni katika kituo cha shule ya Msingi Msasani B jijini Dar es Salaam, tayari kwa kuwachagua viongozi wao katika nafasi za Urais, Ubunge na Udiwani.Miongoni mwao ni Bisura Shaban Ally ambaye amesema akimaliza kupiga anarejea nyumbani kupika pilau ale na familia yake, ikiwa ni kujipongeza baada ya kutimiza wajibu wa kupiga kura.
 
Back
Top Bottom