Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Barabara ya Mlimba–Ifakara imekuwa kero ya muda mrefu kwa wananchi, ambapo inadaiwa imekuwa kama sehemu ya kupatia Kura kila ifikapo Uchaguzi. Kwa mujibu wa mtumiaji huyu wa X
"Barabara Mlimba Ifakara, ikifika kipindi cha kampeni CCM imezoea kwenda kuchukulia point kwamba wakichaguliwa watajenga hiyo barabara na watapeleka maji. round hii wananchi wa wilaya ya Mlimba wamesema mgombea wa CCM akienda na sera iyo atapigwa mawe na asimalize hotuba yake NB"