the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Levina Rajabu mkazi wa kata ya Bondeni katika mji mdogo wa Bomang’ombe wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro amesema endapo atafariki dunia kabla ya uchaguzi Mkuu wa hapo mwezi Oktoba basi kaburi lake lipige kura na hiyo kura apewe Saashisha Mafuwe mbunge wa sasa wa jimbo la Hai .
Levina ametoa kauli hiyo wakati wa Mkutano wa hadhara uliondaliwa na Mh Saashisha katika kata ya Bondeni akieleza utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo hilo hususani katika miradi ya Afya.Elimu,Maji na Miundombinu .