Mwananchi: Msipotuhakikishia kama Polepole yupo hai na Mafwele kutojiuzulu, mnimalize na mimi

Mwananchi: Msipotuhakikishia kama Polepole yupo hai na Mafwele kutojiuzulu, mnimalize na mimi

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kupitia video inayosambaa Mtandaoni inamuonyesha kijana akielezea kwa hasira tukio la kutekwa kwa Humphrey Polepole usiku wa kuamkia Oktoba 6, 2025, akidai kutaka kujua hali ya Polepole kama yupo hai pia kumtaka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Faustine Mafwele ajiuzulu

Soma pia

 
Kupitia video inayosambaa Mtandaoni inamuonyesha kijana akielezea kwa hasira tukio la kutekwa kwa Humphrey Polepole akidai kutaka kujua hali ya Polepole kama yupo hai pia kumtaka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Faustine Mafwele ajiuzulu

20251009_104851.jpg
 
Ni suala tu la muda kabla ya bomu kulipuka. Mwanadamu ana kiwango chake cha uvumilivu. Kikipita hicho kipimo, basi na yeye hugeuka na kuwa mnyama mkali wa mwituni.
 
Kupitia video inayosambaa Mtandaoni inamuonyesha kijana akielezea kwa hasira tukio la kutekwa kwa Humphrey Polepole usiku wa kuamkia Oktoba 6, 2025, akidai kutaka kujua hali ya Polepole kama yupo hai pia kumtaka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Faustine Mafwele ajiuzulu

Soma pia

Unasubiri nini kufa? Kanunue sumu ya panya, dakika sifuri tunakusahau
 
Back
Top Bottom