Kijakazi Chizi
Member
- Dec 9, 2025
- 89
- 213
Kufuatia agizo la watu kupumzika katika siku ya Uhuru jana, Disemba 9, 2025 Christina Mogela maarufu kama Mama wawili ambaye anafanya biashara ya kuuza mihogo kwa muda mrefu amesema kazi yake iliathirika kwa sababu inamtegemea atoke ndipo ale.
Christina ameongeza kuwa akiba kidogo aliyokuwa nayo ilimsaidia wakati wa mapumziko hayo na anakiri kupoteza wastani wa shilingi 15,000/= katika siku ya jana, katika kazi ambayo ndiyo inamlisha na kumsaidia kusomesha watoto wake