BAKWATA ndio waislamu wote?Wao kanzu na kofia tu, ila ubongo matope. Sawa bhn ndo muislam mwenzang
" Nina imani kubwa sana na bunge la sasa hivi jinsi lilivyo. Ni bunge la Chama cha Mapinduzi"- amesema mwananchi
Huyu ni mwananchi tena mtu mzima aliyeshuhudia vipindi vingi vya uongozi hapa nchini, naamini anaelewa hasa matukio yanayoendelea lakini bado anashobokea uwepo wa nguvu ya chama kimoja bungeni ndiyo wafanye maamuzi na mustakabali wa taifa
Kama kweli wanajitambua, mbona hawajitahidi kudai mgombea huru aruhusiweUzuri watu wa Rika lake hawafiki hata Milioni 10, yaani hata watu milioni 5 wakisema wana Imani na CCM, kuna Vijana zaidi ya Milioni 30 hawaijui CCM na Chadema, na hawataki Usenge wowote ule zaidi ya Nchi yao kuendeshwa kwa kufuata Misingi ya Haki, Demokrasia na Utawala Bora. Madogo hawaelewi afu wako wengi