GE2025 Mwananchi: Nyumba yangu inauzwa na bank naomba Baba Levo anisaidie

GE2025 Mwananchi: Nyumba yangu inauzwa na bank naomba Baba Levo anisaidie

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mama mjane anayedai kudaiwa pesa na kampuni ya benk ya nmb amezungumza na seven media akimuomba baba levo anusuru nyumba yake iliyopangwa kuuzwa kaajili ya kufiidia deni ambalo anadaiwa katika benki hiyo.

Christina alikopa Tsh milioni 50 kwenye bank hiyo na kuiingiza kwenye biashara lakini baada ya muda biashara yake ikaingia hasara, akiwa amelip milioni 15 pekee

Baada ya biashara kuingia hasara Christina alipambana mwenyewe kulipa deni hilo mpaka kufikia kiasi cha milioni 35,500,000/= siku ya jana Oktoba 2 na kubakia deni la milioni 14,500,000/=.


 
14 million hela ndogo sana, kwa Baba Levo. Amsaidie mama mjane, ajipatie baraka
 
Back
Top Bottom