GE2025 Mwananchi: Samia ni Rais kweli lakini haonekani! Si anawapa hela akina Harmonize na Shomari Kapombe, hao ndio wakampigie kura!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Mwananchi anahoji kwanini Samia anasaidia matajiri wakati kuna watu kibao wa hali chini wanaohitaji msaada huo zaidi? Anakaa kutoa hela kwenye goli la mama, mara kumwaga hela kwa wasanii na kuacha watanzania wakifa kwenye umasikini wa kutupwa! Kwa namna hii hakuna Rais anayeitwa Samia, hata kama kama yupo na na madaraka hayo, uwepo wake haonekani!

Una maoni gani kutoka kwa Mgogo wa Mkata? Jambo la Gen Z linazidi kupamba moto:elmoFire::elmoFire::elmoFire:

======

"Samia mimi sijamuona, simjui wala sijamuona katoka shughuli za tanzania. Ni rais kweli, tunachomkataa anaenda kumpa hela Shomari Kapombe wakati kapombe analipwa na Simba! Anaenda kumpa hela Shabalala wakati analipwa hela nyingi na Simba! Anaenda kumpa hela Harmonize wakati Harmo ana hela nyingi.

"Je, hawa mafukara ambao watoto wao wanalala njaa barabarani, wanashindwa kusoma, atawasaidia nini Samia? Samia si anawasaidia matajiri, basi hao akina Shabalala, kina Shomari Kapombe, kina Harmonize wamchangue!"

Mwananchi akitema cheche kutoka Mkata.

martinmaranjamasese-20251004-0001.jpg
 
View attachment 3483030
Hatoshi
FB_IMG_1759557878308.jpg
 
Kwahili naunga mkono hoja..Hzo pesa za goli la mama bora zipelekwe kuweka lami barabara za mitaa,kutatua changamoto za umeme baadh ya mikoa,maji baadh ya mikoa ikimpendeza kama hazina kazi bas kila kijana walau mwisho wa mwezi apewe hela ya kujiendeleza kimaisha kuliko kupeleka kwa wenye navo.
 
Wakuu,

Mwananchi anahoji kwanini Samia anasaidia matajiri wakati kuna watu kibao wa hali chini wanaohitaji msaada huo zaidi? Anakaa kutoa hela kwenye goli la mama, mara kumwaga hela kwa wasanii na kuacha watanzania wakifa kwenye umasikini wa kutupwa! Kwa namna hii hakuna Rais anayeitwa Samia, hata kama kama yupo na na madaraka hayo, uwepo wake haonekani!

Una maoni gani kutoka kwa Mgogo wa Mkata? Jambo la Gen Z linazidi kupamba moto:elmoFire::elmoFire::elmoFire:

======

"Samia mimi sijamuona, simjui wala sijamuona katoka shughuli za tanzania. Ni rais kweli, tunachomkataa anaenda kumpa hela Shomari Kapombe wakati kapombe analipwa na Simba! Anaenda kumpa hela Shabalala wakati analipwa hela nyingi na Simba! Anaenda kumpa hela Harmonize wakati Harmo ana hela nyingi.

"Je, hawa mafukara ambao watoto wao wanalala njaa barabarani, wanashindwa kusoma, atawasaidia nini Samia? Samia si anawasaidia matajiri, basi hao akina Shabalala, kina Shomari Kapombe, kina Harmonize wamchangue!"

Mwananchi akitema cheche kutoka Mkata.

View attachment 3483030
Na bado, mpaka mseme.
 
Kiukweli kabisaaa huyu mama hakubaliki hasa kwa masikini ambao ndio wengi, ye anadhani propaganda za wahuni kuandaa nyomi kwenye mikutano ndio wananchi wamemkubali!.
 
Back
Top Bottom