HatoshiWakuu,
Mwananchi anahoji kwanini Samia anasaidia matajiri wakati kuna watu kibao wa hali chini wanaohitaji msaada huo zaidi? Anakaa kutoa hela kwenye goli la mama, mara kumwaga hela kwa wasanii na kuacha watanzania wakifa kwenye umasikini wa kutupwa! Kwa namna hii hakuna Rais anayeitwa Samia, hata kama kama yupo na na madaraka hayo, uwepo wake haonekani!
Una maoni gani kutoka kwa Mgogo wa Mkata? Jambo la Gen Z linazidi kupamba moto
======
"Samia mimi sijamuona, simjui wala sijamuona katoka shughuli za tanzania. Ni rais kweli, tunachomkataa anaenda kumpa hela Shomari Kapombe wakati kapombe analipwa na Simba! Anaenda kumpa hela Shabalala wakati analipwa hela nyingi na Simba! Anaenda kumpa hela Harmonize wakati Harmo ana hela nyingi.
"Je, hawa mafukara ambao watoto wao wanalala njaa barabarani, wanashindwa kusoma, atawasaidia nini Samia? Samia si anawasaidia matajiri, basi hao akina Shabalala, kina Shomari Kapombe, kina Harmonize wamchangue!"
Mwananchi akitema cheche kutoka Mkata.
View attachment 3483030
Na bado, mpaka mseme.Wakuu,

Ngoja tumkekete na kisu butu maninaKashaona utamu wa hela za Watanzania, yuko tayari kung'ang'ania kwa namna yoyote ile
Wasiomtaka SamiaMpaka nani aseme?🤔🤔
Kiongozi wa bei ya jioniHuyu mzanzibar hichi kiburi anatoa wap? Mbn mwanzo alionekana kama ana unafuu