Mwananchi: Sura mbili za Uhuru Kenyatta

Uhuruto must go this time. Shubamit!
Aende wapi wakati mahakama yenyewe ilikubali kuwa kura hazikuongezwa wala kupunguzwa? Kura 1.5 million zaidi ya Raila. Afu wanasema eti kura hazijalishi shughuli ya uchaguzi yenyewe ndo haikufata kanuni zilizofaa kupeperusha matokeo! Ngoja hiyo siku ya kuzaliwa ya Uhuru Kenyatta, siku ya kurudia kura 26 Oktoba, itakuwa ni, Happy Birthday Mr. President! Asubuhi asubuhi tu.
 
Hanna jipya hapa mwenzenu napiga zoezi hapa ufukweni pole pole tu
 
Kaangali sura yenyewe kama ulivyouliza. Mambo ya watu wachieni wao wamalizane. Kitendo ya wengine kupiga debe la kihuni kwa Kenyatta si sura zuri kwa siasa za Tanzania.
Sura gani? Hivi hujui sasa hivi maamuzi ya mahakama ndo yako mashakani? Uhuru Kenyatta alikuwa sahihi muda huo wote! Kuna hakimu wawili walokuwa wanawasiliana na NASA huku kesi ikiendelea ! Rais Kenyatta amekuwa mvumilivu sana.
 
Kaangali sura yenyewe kama ulivyouliza. Mambo ya watu wachieni wao wamalizane. Kitendo ya wengine kupiga debe la kihuni kwa Kenyatta si sura zuri kwa siasa za Tanzania.
Mimi mwenyewe mpiga kura chee ya tarehe ishirini na sita Oktoba ntakuwa kwenye mstari wa mbele kuhakikisha Raila tumempa zake tano tena. Kama kiongozi rasmi wa upinzani Kenya hadi 2022 aende retire! Inshallah.
 
Wew mwenyewe hapo nishetani ya kuzimu alichaguliwa na Mungu ndo maana anatuogoza kumuita ivyo wew na family yako ndo mashetani
 
Wew mwenyewe hapo nishetani ya kuzimu alichaguliwa na Mungu ndo maana anatuogoza kumuita ivyo wew na family yako ndo mashetani
kajifundishe kuandika vizuri kwanza ndo uje kubwabwaja hapa. Familia yangu imetokea wapi hapa. nyie ndo mnaoliwa viboga kwa kudandia treni kwa mbele, choko wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…