La muhimu ni watafute suluhisho maana ukisema wapande Dcm usicho jua n kua hakuna Daladala inayo Fanya route ya kimara - kivukoni...Sasa na nyie wananchi hebu oneni aibu basi? Yaani magari mazuri yale mnataka kuyachakaza haraka kwa kuanza kuingia ndani na mizigo yenu hiyo? Kapandeni DCM na samaki zenu huko achaneni na gari hizo bado mpya zinataka usmati tu
Ndio yaleyale ya kutaka kuingia na shangazi kaja kwenye SGR,lazima tuweke viwango,utafutwe utaratibu mwingineSasa na nyie wananchi hebu oneni aibu basi? Yaani magari mazuri yale mnataka kuyachakaza haraka kwa kuanza kuingia ndani na mizigo yenu hiyo? Kapandeni DCM na samaki zenu huko achaneni na gari hizo bado mpya zinataka usmati tu
Kwahivyo wasubiri zikichakaa?Sasa na nyie wananchi hebu oneni aibu basi? Yaani magari mazuri yale mnataka kuyachakaza haraka kwa kuanza kuingia ndani na mizigo yenu hiyo? Kapandeni DCM na samaki zenu huko achaneni na gari hizo bado mpya zinataka usmati tu
Chalamila labda ukutane nae kwenye bar kubwa kubwa mjini dar es salaamNdugu yangu Chalamila angekua humu jf ningempa mbinu ya kulitatua hilo tatizo.
Hivi kwanini wakubwa hawapendi kujiunga social media ukiachia mama mmoja waziri mwenye weledi
Mkiharibu magari na matenga yenu ya samaki baadaye mnaanza kuilaumu serikali. Halafu hiyo shombo ya samaki kwenye vipedo vyetu haifai, tafuteni maguta kama wafanyabishara wenzenu wa ndizi mbebee hao samaki.Jana Oktoba 2,,2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitembelea vituo vya mabasi ya Mwendokasi vya Kivukoni na Kimara kukagua utoaji wa huduma na kuzungumza na wananchi.
Akiwa Kivukoni, alikutana na changamoto ya wafanyabiashara wa samaki waliodai wamezuiwa kupakia bidhaa zao kwenye mabasi mapya. Walisema hali hiyo inawapa ugumu wa kufikisha samaki sokoni.
Majaliwa alimuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, akae na wafanyabiashara hao ili kutafuta suluhu, ikiwemo kuangalia njia ya kufunga mizigo yao au kutumia utaratibu mwingine. Alisisitiza kuwa changamoto hiyo lazima ipatiwe ufumbuzi mapema.
Ziara hiyo ilihitimishwa Kimara, ambapo Waziri Mkuu alitaka mabasi mapya yaendelee kutoa huduma bora na salama kwa wananchi.
Pia Soma: Mabasi mapya ya Mwendokasi ya MOFAT yaanza kubeba Abiria GerezaniāMbezi
Hilo apana labda ni johnthebaptistInawezekana yupo kwa jina la dsmhustla
Bar kubwa kubwa unamaanisha zenye hadhi ya kitambaa cheupe Sinza, Great park , Toroka uje au bar za Mikocheni B karibu na bahari?Chalamila labda ukutane nae kwenye bar kubwa kubwa mjini dar es salaam
Mkuu hao wahudumu wameajiriwa na wana wategemezi wakileta za kujua kibarua hawanakwamba hata ukitumia ndoo zilizofungwa vyema hairuhusiwi!!!!sato zinapanda ndege kwa kutumia ndoo zenye mifuniko,sembuse bus la mwendokasi!!!!!
yaani hao wahudumu wa mwendokasi akili zimelalia kwenye katazo tu bila kutoa suluhisho l katazo lao,ni kama wana visa na wauza samaki.
Toa hiyo mbinu wacha maneno!Ndugu yangu Chalamila angekua humu jf ningempa mbinu ya kulitatua hilo tatizo.
Hivi kwanini wakubwa hawapendi kujiunga social media ukiachia mama mmoja waziri mwenye weledi