Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Mwananchi mmoja akizungumza katika Mjadala wa wazi kati ya viongozi wa dini na wananchi juu ya amani ya yaliyotokea Oktoba 29, 2025, ameeleza kuwa kama vijana wanakuwa wanataka kutoa maoni kwa uwazi lakini wamekuwa wakiogopa kwani baada ya hapo hawajui nini kitakachowakuta.
Akitolea changamoto alizokutana nazo baada ya kutoa maoni, amesema kuwa alitafutwa na jeshi la Polisi hali iliyompelekea kuhama eneo analoishi na kukimbilia wilaya nyingine, lakini baada ya kurudi aliripoti Polisi na kuhojiwa kuhusu maandamano