Mwananchi ungeambiwa kuchapa kiongozi kiboko, ungemchapa nani na kwa sababu zipi?

Jiwe kwa kutuharibia nchi. Uchaguzi umekuwa vita vya ndani!
 
Wazo ni zuri ila kwa jinsi tulivyo furugwa huu ni uchochezi
 
Mie sitomchapa mtu ILA ningeomba kuwapiga kwa short ya umeme vijana wote wa 'lumumba' huenda baada ya hapo akili zao zitakuwa na akili kwani vichwa vyao ni vizito mno mno.
Hahahaha pimbi mkubwa, dua la kuku. Mpigie kura Dkt Magufuli ALM
 
Unamaanisha kiboko gani mkuu? Mimi kama ni kile kiboko laini ningemchapa nacho Isabela Chilumba DC wa Nyasa!
 
Ningeomba niletewe M7 na Kabila niwacharaze mboko za moto moto kwanza halafu watajua kwanini nimewacharaza.
 
Ningemlamba mwenyekiti wangu wa kitongoji baada ya kumchagua ye amekitelekeza kitongoji na kwenda kuolewa Kijiji Cha pili
 
Mwingine ningemchapa Uhuru Kenyatta,

Tofauti yangu na nyie hao nitakaowachapa viboko mimi lazima wavue nguo zote.
 
Wazo ni zuri ila kwa jinsi tulivyo furugwa huu ni uchochezi
Itategemea mtu katafsiri vipi - kufahamu mawazo ya watu ni ushindi kwako mtawala - hata hivyo humu sioni hoja za watu kukosa elimu, maji, umeme, barabara, afya nk

That means ktk eneo hilo Serikali imefanya kazi nzuri - sasa ktk maeneo mbalimbali ya kiutawala wahusika wajitizame ili wajue hisia za wanaowangoza

Lkn pia mtindo wa watawala kupiga bakora raia uishe, ukomeshwe kwa kuwa zipo mamlaka zimepewa meno ya kisheria kutoa adhabu kwa mharifu. Vinginevyo kitambo tutashuhudia provocation kama ilivyotokea miaka ile kwa Kreruu vs mkulima
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…