Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kutoka kwenye Mkutano wa Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Julai 1, 2026 na wananchi wa Nyamongo Mkoani Mara. Moja ya mwananchi aliyejitambulisha kwa jina la Sibora Mwita Magige amemuomba Waziri Mkuu kumsaidia kiasi cha milioni 2 ili apunguze mawazo aliyokuwa nayo
Kuna shirika moja linaitwa Masaka. Liliwahi kunikopesha hela. Baada ya kulipa hela nikawa nimepata changamoto zikawa zimebaki kama shilingi 320. walininyang'anya pikipiki yangu."
"Baada ya yale mawazo kufikiria kwamba pikipiki yangu imeenda kwa shilingi 320... abiria alishuka na mimi pale nilikuwa nimeinamisha kichwa ninawaza pikipiki akashuka na lile begi langu..."
"...nilikuwa ninakuomba mheshimiwa waziri mkuu uweze kuni shilingi milioni mbili angalau mawazo niliyoayo mheshimiwa yaweze kupungua... na pikipiki yangu hiyo uone namna utakavyonisaidia."
Majibu ya Waziri Mkuu Mwigulu
Pole sana pole sana kwa mawazo."
"Haya mpelekeni kwa katibu pale. Katibu mpatie bwana kijana mawazo yaishe." "Usikute hata huu sio mwili wake huu."