GE2025 Mwananchi: Zitto ni mbinafsi wa juu lakini Baba Levo ni mtumishi wa wananchi

GE2025 Mwananchi: Zitto ni mbinafsi wa juu lakini Baba Levo ni mtumishi wa wananchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Vita ya siasa inazidi kuwa tamu huko jimbo la Kigoma Mjini
=======================
Kutoka vijiweni hii ni baadhi ya mijadala ambayo inaendelea kujadiliwa na wananchi wa jimbo la kigoma mjini, kwa kupembua uwezo wa wahombea wao kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Katika mjadala huu amesikika raia akisema kuwa “Zitto ana elimu ya juu na ana ubinafsi wa juu lakini baba levo ana elimu ya chini ila ni mtumishi wa wananchi”

 
Back
Top Bottom