Mwanangu akilia anakauka mpaka anazimia, jamani hii ni hali ya kawaida?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wana jukwaa, naomba ushauri.

Mwanangu wa mwaka 1 na nusu kila akilia anakauka mpaka anazimia, na hali hii imekuwa ikijirudia kila anapolia kabla ya kurudi katika hali ya kawaida. Kwa kifupi, inanitisha sana kwani sijui shida ni nini.

Je, hii ni hali ya kawaida kwa watoto au inahitaji matibabu ya haraka?
 
Fanya hivi ndugu yangu, nenda kawe kwa Mwamposa kwa mafuta na maji tu atapona,kikubwa ni nauli yako tu naamini utanikumbuka
 
Wana jukwaa, naomba ushauri.
Mwanangu wa mwaka 1 na nusu kila akilia anakauka mpaka anazimia, na hali hii imekuwa ikijirudia kila anapolia kabla ya kurudi katika hali ya kawaida. Kwa kifupi, inanitisha sana kwani sijui shida ni nini.
Je, hii ni hali ya kawaida kwa watoto au inahitaji matibabu ya haraka?
Inakutisha kwa sababu wewe huna utaalamu wa kidaktari mpeleke hospital huyo mtoto akatazamwe na wenye taaluma yao.
 
Back
Top Bottom