Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Acha msihara mkuu,toa maoni!Huko kwetu wazee wanamkalisha wanamkanya na kumbadilisha jina!
Mtoto anapoa 😁
Fanya hivi ndugu yangu, nenda kawe kwa Mwamposa kwa mafuta na maji tu atapona,kikubwa ni nauli yako tu naamini utanikumbukaWana jukwaa, naomba ushauri.
Mwanangu wa mwaka 1 na nusu kila akilia anakauka mpaka anazimia, na hali hii imekuwa ikijirudia kila anapolia kabla ya kurudi katika hali ya kawaida. Kwa kifupi, inanitisha sana kwani sijui shida ni nini.
Je, hii ni hali ya kawaida kwa watoto au inahitaji matibabu ya haraka?
Asante kwa ushauriAnazimia kwamba anapoteza fahamu...wahi Hopitali
Sawa mkuu, nafanyia kaziHali siyo ya kawaida iyo
Asante kwa ushauriMpeleke hospital
Naskia ndizi mbivu hupunguza hasira.Itakuwa kiwango chake cha uchungu au hasira ni kikubwa sana.
Muhimu kapate ushauri wa wataamu wa afya.
Pia jitahidini kuto mfanya ajisikie kulia.
Inakutisha kwa sababu wewe huna utaalamu wa kidaktari mpeleke hospital huyo mtoto akatazamwe na wenye taaluma yao.Wana jukwaa, naomba ushauri.
Mwanangu wa mwaka 1 na nusu kila akilia anakauka mpaka anazimia, na hali hii imekuwa ikijirudia kila anapolia kabla ya kurudi katika hali ya kawaida. Kwa kifupi, inanitisha sana kwani sijui shida ni nini.
Je, hii ni hali ya kawaida kwa watoto au inahitaji matibabu ya haraka?
AmenFanya hivi ndugu yangu, nenda kawe kwa Mwamposa kwa mafuta na maji tu atapona,kikubwa ni nauli yako tu naamini utanikumbuka
Asante acha niwahi chapInakutisha kwa sababu wewe huna utaalamu wa kidaktari mpeleke hospital huyo mtoto akatazamwe na wenye taaluma yao.
Ooh! Kumbe acha nichue hatua harakaItakuwa kiwango chake cha uchungu au hasira ni kikubwa sana.
Muhimu kapate ushauri wa wataamu wa afya.
Pia jitahidini kuto mfanya ajisikie kulia.