Mwanangu ameangukia kisogo, anatapika nifanyaje

Mwanangu ameangukia kisogo, anatapika nifanyaje

Wachangiaji wote wanajifanya wajuaaaajiiii. Mleta mada kwani wapi kasema hajampeleka hospital.
Kwa wale wenye watoto wataungana na mimi watoto hua wanaanguka sana yaani mpaka tunaogopa sema ndio unamuamuambia mtoto huko ndio kukua.
Sipingani na wanaotaka aende hospital coz huyu mpaka ametapika ni shida ila mnatakiwa mjue watoto hua wanaanguka sana yaaani na Mungu hua anawasasaidia sana.
mwanao wa miezi Tisa aangukie kichogo!
na hizi nyumba za tiles/cement na urelax kabisa?

watu tuna mioyo tofauti
 
Moderator kwa kuonesha mnajali na kulinda afya na utu wa watoto naomba mpigeni ban ya wiki huyu jamaa ajitafakari jinsi ya kuishi na familia yake.
 
Samahani wataalam, kuna suala nashindwa kuelewa hapa, mwanangu ameangukia uchogo toka kitandani mpaka chini akaanza kutapika then akalala asubuhi kaanza kutapika tena, shida inaweza kuwa ni nini haswa? (Mtoto anamiezi 9)
Acha upuuzi mpeleke mtoto hospitali. Au unataka uambiwe kwamba karogwa!!
 
nimelea watoto watatu Ila sijawahi angusha au kuwa na mtoto ameangukia kichogo,
na hata ingetokea ningempeleka zahati,
kwa sababu hiyo style inafahamika wazi inasababisha kifafa.
First born wangu yuko fiti sana na alipokua mtoto kuangukia kisogo kulimuhusu sana.
Kila siku ingekua hospital baasi.
Anyways nakubaliana na wewe hospital tena kwangu mimi naongezea kua especially inapokua kuna madhara ya ziada yanaongezeka kama huyu aliesema katapika au kama una wasiwasi.
 
Anaweza kuwa na internal bleeding. Mpeleke hospitali haraka.
 
First born wangu yuko fiti sana na alipokua mtoto kuangukia kisogo kulimuhusu sana.
Kila siku ingekua hospital baasi.
Anyways nakubaliana na wewe hospital tena kwangu mimi naongezea kua especially inapokua kuna madhara ya ziada yanaongezeka kama huyu aliesema katapika au kama una wasiwasi.
Watoto huwa wanaanguka lakini hii ya Kuangukia kisogo na kuanza kutapika usiichukulie powa
Kama kuna demage yoyote kichwani itagharimu afya ya mtoto
 
Kama hauna kitanda chenye kuzuia mtoto kudondoka ni kheri uwe unaweka mito kwa chini just incase akidondoka anafikia kwenye mto.
 
Back
Top Bottom