Mwanangu ameshakariri wimbo wa methali mchanganyo. Walimu mna kazi

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,367
Reaction score
11,604
Ukiskia mtu anakwambia ualimu ni shughuli pevu, shughuli yenyewe huanzia hapa. Mwanangu ndo kashakalilishwa hivyo. Ukimuuliza Mtaka cha Uvunguni, anakwambia matrako hulia mbwata

Na hili nalo mkalitazame kwa kina...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…