Unazungumzia walimu wa Tz au? Ethics za kazi unazungumzia Tz au? Wewe ni mwalimu au Dr?house maid na mwl aliesomea ETHICS za kaz wanafanana ? ina maana ww unaez mpiga mtoto wa drs la kwanza kisa huyo housemaid aliweza ?
hv unawachukuliaje walimu mkuu ?
ebu tuache dharau basi
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Na mtoto ana jina mbele kama lakoMimi hata pole nashindwa kumpa, neno pole halitoshi!
mf mimi mwl ntajuaje huyu ana niumonia na huyu hana ? refer kwenye adhabu ya VIKOBONimekuuliza, mtoto ana nimonia, umempa adhabu ya kukaa kwenye maji, akafa. Ripoti ya Dr imeonyesha nimonia imemuua, inafuta uhusika wako kwenye kifo cha mtoto?
I can Google that but no need.
unabishana na majibu ya madaktari ?Yule mwalimu aliyechezesha watoto mziki wa annii,alishughulikiwa haraka.
Huyu anayeficha muuaji,tunasubiri taratibu zifuatwe.
Nakushauri lalamika kwa waziri wa elimu haraka iwezekanavyo. Alafu mbona mama anahangaika peke yake?
Baba yuko wapi,na anafanya nini? au ndo wale wanaume mithili ya jogoo,
tetea anapambana na kunguru asile vifaranga,jogoo amesimama pembeni anawika tuu.
Aliyekuambia naamini mtoto alipigwa ngumi ni nani? Una mihemko. Unadhani kwanini maelezo ya mtuhumiwa ni muhimu na swali la kwanini hana maelezo linajirudia rudia?unatumia kigezo gan kuamin mtoto alipigwa ngumi na haikuwa KANSA YA DAMU ? je una ushaihidi kuea huyo mwl alijuwa mtoto alikuwa anapitia hatua zipi za kimatibabu ?
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Ndio maana yanahangaika kila sikuLakini walimu unampigaje mtoto wa darasa la kwanza mangumi..
Tukio linasikitisha sana lakn naomba nichangie kwenye hili Kuna Mwalimu alikuwa na kesi polis last wiki alipiga mtoto viboko viwili mkono ukavimba,kesi Ilikuwa kubwa madaktari wakasema pia kachapwa alama inaonekana kwenye mkono ni fimbo wakat kesi inaendelea mkono nao unazid kuvimba na kujaa mwisho ukaanza kutoa magamba na kunywea kuchunguza kumbe aling'atwa na mdudu maskini na kumbana vizuri akasema alianza kuumwa mkono sikumoja kabla ya kuchapwaMkuu inakuja akilini eti mtoto wa darasa la kwanza kachelewa namba then mwalim ampige ngumi? Hivi kweli? Hapa kuna vilivojificha watoto skuhz wanadanganya sana.
Ukute mtoto alipigana na wenzake au alipata kiajali flan kikampelekea kupata maumivu na majeraha yalompelekea kufa lakini aliogopa kusema ukweli kwa wazaz bas akamsukumizia mwalim aliyemuadhibu labda kwa ka kiboko kamoja au tuwili twa miguuni au mkononi
kama kelele zingekwepo basi kesi ingekuwa sehemu fulani , soma bandiko na ulielewe , hiyo shule haipo mbinguni kwamba wazaz wangeshindwa kwenda kufanya fujo , huyo mwl wa field tena shule ya msingi tena vijijini simain kaa ana gari anapita kwenye makazi ya watu kwenda dukani au kupata huduma nyingineWewe inaonekana upo hapo maeneo ya shule.
Umejuaje kuwa hakuna malalamiko? Maana hili tumelijua kupitia hapa JF na ni lalamiko lililokuwepo na hatujawahi lisikia. Unajuaje kuwa hakuna malalamiko kama haya?
Una mihemko. Sasa ukiwa hujui ukampa adhabu mtoto akapata tatizo ndo unapata uhalali wa kufichwa na kutojieleza? Uhalali wa kutokuhojiwa? Uhalali wa kutokusema ni nini kilitokea na iwapo kama adhabu uliyotoa ni stahili au la? Mzazi alipokuja shule ulimueleza kuwa mtoto ulimuadhibu kwa kiwango gani? Au sababu anaumwa basi unapata kichaka?mf mimi mwl ntajuaje huyu ana niumonia na huyu hana ? refer kwenye adhabu ya VIKOBO
NDO HOJA YANGU YA AWALI WAPIMENI WATOTO WENU AFYA KABLA HAMJAMKABIDHI KWA WALIMU
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
MAELEZO NI MUHIMU. HUYO MWALIMU ALIYEMCHAPA HAKUFICHWA, ALITOKEA NA KUJIELEZA KUWA AMEMTANDIKA VIBOKO VIWILI.Tukio linasikitisha sana lakn naomba nichangie kwenye hili Kuna Mwalimu alikuwa na kesi polis last wiki alipiga mtoto viboko viwili mkono ukavimba,kesi Ilikuwa kubwa madaktari wakasema pia kachapwa alama inaonekana kwenye mkono ni fimbo wakat kesi inaendelea mkono nao unazid kuvimba na kujaa mwisho ukaanza kutoa magamba na kunywea kuchunguza kumbe aling'atwa na mdudu maskini na kumbana vizuri akasema alianza kuumwa mkono sikumoja kabla ya kuchapwa
Sisemi Ni tukio zuri lakini Kuna namna maelekezo yazingatie pande zote mbili
Nao ni binadamu,na ukumbuke nao mishahara haiwatoshi,
Hata huelewi msingi wa hoja.kama kelele zingekwepo basi kesi ingekuwa sehemu fulani , soma bandiko na ulielewe , hiyo shule haipo mbinguni kwamba wazaz wangeshindwa kwenda kufanya fujo , huyo mwl wa field tena shule ya msingi tena vijijini simain kaa ana gari anapita kwenye makazi ya watu kwenda dukani au kupata huduma nyingine
HUYU MAMA NA WW MNABISHANA NA MAJIBU YA DAKTARI NA MNAONEKANA HAMKUBALI KUWA KIFO KINAKUJA MUDA WOWOTE HAKINA , NAEZA KUKUSUKUMA NA UKAFA MOJA KWA MOJA
TTZO LENU AKILI ZENU HAZIPO HURU
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Yes ni muhimu Kila mtu atoe maelezo mzazi angewah polis kutoa maelekezo niba hakika Mwalimu angeitwaMAELEZO NI MUHIMU. HUYO MWALIMU ALIYEMCHAPA HAKUFICHWA, ALITOKEA NA KUJIELEZA KUWA AMEMTANDIKA VIBOKO VIWILI.
mada inasemaj kwan ? inahusu mimi ni mwl ?WEWE NI MWALIMU
bakia kwenye mada , taaluma yangu sio sehem ya madaUnazungumzia walimu wa Tz au? Ethics za kazi unazungumzia Tz au? Wewe ni mwalimu au Dr?
Dawati la jinsia lipo wapi?Yes ni muhimu Kila mtu atoe maelezo mzazi angewah polis kutoa maelekezo niba hakika Mwalimu angeitwa
sasa unatetea nini hapa ? kama husimami na maneno ya huyo mama ?Aliyekuambia naamini mtoto alipigwa ngumi ni nani? Una mihemko. Unadhani kwanini maelezo ya mtuhumiwa ni muhimu na swali la kwanini hana maelezo linajirudia rudia?
Kwanini unapiga watoto wa watu halafu wakifa unajificha kwenye kichaka cha ugonjwa?