kama kelele zingekwepo basi kesi ingekuwa sehemu fulani , soma bandiko na ulielewe , hiyo shule haipo mbinguni kwamba wazaz wangeshindwa kwenda kufanya fujo , huyo mwl wa field tena shule ya msingi tena vijijini simain kaa ana gari anapita kwenye makazi ya watu kwenda dukani au kupata huduma nyingine
HUYU MAMA NA WW MNABISHANA NA MAJIBU YA DAKTARI NA MNAONEKANA HAMKUBALI KUWA KIFO KINAKUJA MUDA WOWOTE HAKINA , NAEZA KUKUSUKUMA NA UKAFA MOJA KWA MOJA
TTZO LENU AKILI ZENU HAZIPO HURU
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using
JamiiForums mobile app