Mwanangu ana dalili ambazo wengi wanasema atakuwa na meno ya Plastiki

Mwanangu ana dalili ambazo wengi wanasema atakuwa na meno ya Plastiki

Sungusunguu

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2018
Posts
1,280
Reaction score
998
Wakuu nahitaji msaada wa haraka sana wakuu mwanangu ana dalili amvazo wengi wanasema atakuwa na plastic teeth na hata cjui ni nn hiki na nifanye nn kujinusuru
Msaada tafadhari


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ebana ee uko mnyoko nini , mpeleke kituo cha afya
 
Chukua majani ya mgagani msugue katika hayo meno yalioanza kuota kwa siku mara mbili asubuh na jioni kwa muda wa wiki moja yatapotea mkuu
 
Back
Top Bottom