Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwanangu ana matokeo ya F4 ambapo amepata E zote na F moja, nataka nimpeleke nursing je ana sifa? naomba ushauri wenu wana jf........... mkoa wowote
hahaha! Tumia tafsida mkuuSasa hapo si ana zero mwambie akalime kwa umesikia nursing ndo wanahitaji mazezeta.
UKIPATA F umefeli, pia ukipata E umefeli. kwa utaratibu wa sasa E na F zote zinamaanisha mwanafunzi amefeli, kwa maana hiyo mdogo wetu hajafaulu hata somo moja na hivyo hawezi kupata chochote kama ni kwa mfumo wa elimu. NDIO MAANA MIMI NILISEMA NI BORA WANGEANDIKA F tu badala ya E mana wanachanya watu. hiyo E haina msaada wowote. ila angepata D mbili hapo sawa.mwanangu ana matokeo ya F4 ambapo amepata E zote na F moja, nataka nimpeleke nursing je ana sifa? naomba ushauri wenu wana jf........... mkoa wowote
Mmh, hebu hurumieni wagonjwa, huyu si atakuchoma fenegani badala ya PNV?
Bora aende u-polisi, akiwa trafiki, wampengie Tazara au moroco.
Sasa hapo si ana zero mwambie akalime kwa umesikia nursing ndo wanahitaji mazezeta.
kwa ufaulu huo atapata nafasi kwa nursing wa mirembe. nenda ka apply.
Mmh, hebu hurumieni wagonjwa, huyu si atakuchoma fenegani badala ya PNV?
Bora aende u-polisi, akiwa trafiki, wampengie Tazara au moroco.
Umenichekesha alfajiri yote hii LOLMmh, hebu hurumieni wagonjwa, huyu si atakuchoma fenegani badala ya PNV?
Bora aende u-polisi, akiwa trafiki, wampengie Tazara au moroco.