Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 69
ungeitaja hiyo shule tungekusaidia zaidi,maana watanzania tulishakua na kasumba shule ni english medium na unalipa pesa nyingi ndio elimu bora,mwanzoni sikuelewa hili,iangalie hiyo shule vizuri utajua kuna tatizo,kulipa pesa nyingi sio solution ya elimu,kitu kingine mimi kitu nilichojifunza kwa wenzetu wazungu,sisi wabongo unataka mtoto wa darasa la kwanza awe anajua vyote kwa mara moja kusoma,kuandika etc,ni vitu ambavyo kwa wenzetu haviko hivyo ingawa kwetu tangia vidudu unamsukuma ajue vyote kwa mara moja,nadhani kunakua na age mtoto ni kujifunza kucheza na wenzake na ku socialise,huyo mwanao atakua pengine hana tatizo,ni shule aliyopo na wewe mzazi kutaka uharaka wako awe na mwandiko mzuri,kitu kingine mtoto wa darasa la kwanza kwenda tuition huo ni wehu,atapumzika saa ngapi huyo mtoto na atacheza saa ngapi,muundo elimu yetu imeshuka tukubalini ukweli,nawakilisha,CCM hiyo.Kuna tatizo kubwa sana linanisumbua juu ya mwanangu shuleni.yupo class one na ni shule nzuri tu tena English medium.tatizo ni kwamba mwandiko wake ni mbaya kupitiliza.sasa nashindwa kuelewa walimu hawaoni au ni kwamba wako busy.
Swala la pili ni kuwa shule tunalipa ada kubwa tu lakini still Unaambiwa pia mtoto apelekwe tution.
Sasa kama tution tunalipa bado uwe na mda wa kufanya homework na mtoto kwa maisha haya si tabu tu jamani.unapata tabu kumtaftia mahitaji muhimu bado nafasi ya ualimu pia uichukue!!!.
Kuna tatizo kubwa sana linanisumbua juu ya mwanangu shuleni.yupo class one na ni shule nzuri tu tena English medium.tatizo ni kwamba mwandiko wake ni mbaya kupitiliza.sasa nashindwa kuelewa walimu hawaoni au ni kwamba wako busy.
Swala la pili ni kuwa shule tunalipa ada kubwa tu lakini still Unaambiwa pia mtoto apelekwe tution.
Sasa kama tution tunalipa bado uwe na mda wa kufanya homework na mtoto kwa maisha haya si tabu tu jamani.unapata tabu kumtaftia mahitaji muhimu bado nafasi ya ualimu pia uichukue!!!.
Mpeleke gereji