Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 69
Kuna tatizo kubwa sana linanisumbua juu ya mwanangu shuleni.
Yupo class one na ni shule nzuri tu tena English medium.Tatizo ni kwamba mwandiko wake ni mbaya kupitiliza, sasa nashindwa kuelewa walimu hawaoni au wako busy?
Swala la pili ni kuwa shule tunalipa ada kubwa tu lakini bado unaambiwa mtoto apelekwe tution.
Sasa kama tution tunalipa bado uwe na mda wa kufanya homework na mtoto kwa maisha haya si tabu tu jamani.
Unapata tabu kumtafutia mahitaji muhimu bado nafasi ya ualimu pia uichukue