Mwanangu anaangalia kiganja cha mkono na kucheka

Mwanangu anaangalia kiganja cha mkono na kucheka

Mpeleke akaombewe..isije ikawa mizimu inamfuatilia mtoto wako! Hii huwa inatokea kama katika ukoo wako au wa mkeo kuliwahi kuwepo ndugu ambaye alikuwa kichaa au mganga wa kienyeji na alishatangulia mbele ya haki!

Huu ushauri ni sumu usichukue
 
mchunguze vizuri hicho kiganja usikute ana funza anayemtekenya hapo kiganjani
 
atakua mganga mkuu una zali utakula sana nyama za kuku mbuzi na kadharika wataleta mbuzi utakata kichwa utampa mwil utabaki nao ww
 
Fanya mengi unayoshauriwa. Kama ni mkristu muwekee maji ya baraka kwenye kiganja na uharibu yote ambayo hayajatoka kwa Mungu na kuyateketeza. Fungua baraka na uzima kwa mamlaka tuliyopewa Mathayo 18:18 na Yeremia 1:10
Halafu mpeleke hospitali kwa wataalamu. Kwa njia hiyo utakuwa umeshambulia tatizo kimwili na kiroho kama kweli ni tatizo
Nimekukubali ghafla.
Hekima.
 
Hiyo ni dalili njema mkuu huna haja ya kuwa na hofu ndugu yangu. Mlee vizuri huyo mtoto ndo akina Dangote wa baadae hao.
Kitoto kinafurahia uumbaji wa Mungu, mzazi anaingiwa na hofu!!! teh teh teh kulea kazi sana!!!
 
Toto litakuja kuwa piga ramli la kutupwa
 
Tunaomba feedback ya hii mada kutoka kwa mleta mada kwani ni miaka miwili na zaidi toka ulipoileta.
 
hata mimi nlikuwa hvyo nlipkuwa ningli mtoto nadalil kadhaa zaautsm bt nmshkuru sir god kumbe ni zaid ya karama.
 
Back
Top Bottom