Mpeleke akaombewe..isije ikawa mizimu inamfuatilia mtoto wako! Hii huwa inatokea kama katika ukoo wako au wa mkeo kuliwahi kuwepo ndugu ambaye alikuwa kichaa au mganga wa kienyeji na alishatangulia mbele ya haki!
Mkuu rejea post yake amesema miaka km miwiliOkey tungejua umri wa mwanao ingekuwa rahisi kubaini.Kama Nyoni hapo kikawaida mwanao yuko fiti ila tutajie umri wake
Atakua sharobalo
Maelezo zaidi mkuu Kamanda Kazi
Nimekukubali ghafla.Fanya mengi unayoshauriwa. Kama ni mkristu muwekee maji ya baraka kwenye kiganja na uharibu yote ambayo hayajatoka kwa Mungu na kuyateketeza. Fungua baraka na uzima kwa mamlaka tuliyopewa Mathayo 18:18 na Yeremia 1:10
Halafu mpeleke hospitali kwa wataalamu. Kwa njia hiyo utakuwa umeshambulia tatizo kimwili na kiroho kama kweli ni tatizo
Mkuu rejea post yake amesema miaka km miwili
Toto litakuja kuwa piga ramli la kutupwa
Nashukuru kwa ujumbe wako MziziMkavu. Wasiwasi wangu umepungua.
Umri ametaja miaka miwiliOkey tungejua umri wa mwanao ingekuwa rahisi kubaini.Kama Nyoni hapo kikawaida mwanao yuko fiti ila tutajie umri wake