Mwanangu ananyonya sana!

Mpendwa kwakuongezea kwa karucee apo Google how to breastfeeding.. utaona position zinazotakiwa kuwekwa mtoto..
Kisamvu kinaongeza sana maziwa kijaribu..
All tha best Kwenye ulezi mama
 
Jitahidi Kuwa unakula kila Mara kwani kushiba kwako wewe ndo hutengeneza maziwa ya mtoto pia kula sana vitu vya majimaji na laini laini na usisahau kula mchemsho Wa pweza unasaidia sana kujaza maziwa. Jitahidi usimpe kitu chochote mwanao zaidi ya maziwa yako.
 
Mpendwa kwakuongezea kwa karucee apo Google how to breastfeeding.. utaona position zinazotakiwa kuwekwa mtoto..
Kisamvu kinaongeza sana maziwa kijaribu..
All tha best Kwenye ulezi mama

Ahsante.niaendelea kumyonyesha na anaridhika ila itabidi nikijaribu hiko kisamvu aisee...
 

Ahsante Kwa Ushauri Mzuri.
 
Jitahidi kula mara kwa mara usijibanebane. Kama wengine walivyoshauri supu ya pweza jitahidI uipate utaona matokeo haraka sana
 
inawezekana maziwa yako ni mepesi sana hivyo mtoto kushindwa kushiba vizuri kazana kula vyakula vitakavyoongeza uzito wa maziwa..maharage ni mojawapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…