Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpendwa kwakuongezea kwa karucee apo Google how to breastfeeding.. utaona position zinazotakiwa kuwekwa mtoto..
Kisamvu kinaongeza sana maziwa kijaribu..
All tha best Kwenye ulezi mama
Jitahidi Kuwa unakula kila Mara kwani kushiba kwako wewe ndo hutengeneza maziwa ya mtoto pia kula sana vitu vya majimaji na laini laini na usisahau kula mchemsho Wa pweza unasaidia sana kujaza maziwa. Jitahidi usimpe kitu chochote mwanao zaidi ya maziwa yako.
........Huyo mtoto ana njaa sana. Mpe uji mlaini, atakuwa sawa tu.