Mwanangu ananyonya sana!

Mwanangu ananyonya sana!

Mpe maziwa ya unga yale ya katika kopo kwa ajili ya watoto au maziwa ya ng'ombe

Fanya hivyo kama mfuko unaruhusu,kama unawasiwasi na kununua maziwa feki hapa bongo basi agiza hata nje ya nchi

Ndani ya wiki unaweza pata mzigo wako wa maziwa
 
Its not clear umemuambia nini.

Assuming umemshauri anyonyeshewe mtoto, wewe utampa mtoto mtu akunyonyeshee just like that?

Achilia mbali maradhi ya siku hizi, personal hygiene?

Sometimes tukitoa ushauri tuwe tunajiuliza what if ni sisi, tungefuata ushauri huo?

Nahisi hujamuelewa, yeye amekusudia wamama wa kumpa ushauri nini afanye na.sio kumnyonyeshea mtoto wake.
 
Kama.mtoto mwanaume mara nyingi huwa wananyonya sana ingawa wapo na wakike pia hunyonya sana.

Kunywa uji wa mtama, asali na uwatu, pweza kwa wingi hasa supu yake au kamba pia wanafanyisha maziwa sana.

Hayo mapili pili manga usiyashiriki sana sio mazuri yasije yakakuletea madhara ya tumbo baadae
 
jitahidi sana kula vzuri wewe mwenyewe maziwa yatatoka tu hapo bado hayajachanganya vzuri kutoka kma unaweza kunyonyesha huna tatizo lolote la kiafya nakusha
uri umnyonyeshe tu mwanao maziwa ya mama ni bora kuliko kitu chochote achana na uji wa muhogo na vitu vingine nyonyesha na ule vzuri mboga za majani kma mchicha ni mzuri karoti uji wa lishe karanga au korosho itakusaidie katika kuyapa rutuba zote maziwa yako.
 
Ahsante K But This Baby Ana Demand Aiseee....What Can I dDrink Precisely Kuincrease Hiyo Intake:..Any Sort Of Tea?

Water water and more water.

You don't have to take gulps, just stay hydrated and drink more.

Soups too, milk, I wouldn't advise teas. I cut back on caffeine from pregnancy mpaka mtoto alipofika 6 months.

Hata ule nini but without fluids basically water you won't make milk.

Halafu ngoja nikuambia mwili wako hauwezi kulemewa na kumlisha mtoto umembeba for 40 weeks. Keep pumping to produce more milk.

Do you have an idea what am talking about?
 
Mpe maziwa ya unga yale ya katika kopo kwa ajili ya watoto au maziwa ya ng'ombe

Fanya hivyo kama mfuko unaruhusu,kama unawasiwasi na kununua maziwa feki hapa bongo basi agiza hata nje ya nchi

Ndani ya wiki unaweza pata mzigo wako wa maziwa

I like to believe hajafikia huko.

Wataalamu hawashauri mtoto ambae hajatimiza mwaka mmoja apewe maziwa ya ng'ombe. it is a little too complex for the little one's kidneys to break it down.

Ndo maana hata watu wakijikausha wana dilute but seriously not for one week old infants.
 
Halafu ngoja nikuambie kitu @Ntakasi. How you hold your breast matters. Isije kuwa mtoto ananyonya hewa tu.The image below shows you how the breast should be held while breast feeding
. breast1.jpg
Usiweke kidole juu ya nipple asi if nipple iwe katikati ya index na middle finger. Utakuwa unalimit flow ya maziwa na mtoto atanyonya hewa.
 
Make sure mtoto ananyonya ziwa moja for not less than ten minutes. This is because mother's milk constitutes of two parts.

Maziwa yanayotoka mwanzo pale unapo breast feed ni maji mostly kwa ajili ya ku quench kiu cha mtoto. Yanayofuata ni mainly fats kwa ajili ya kurutubisha mwili so make sure the baby suckles long enough on one breast. Burp him- atoe hewa then akiwa bado anataka kunyonya move him/ her to the next breast.

Umenikumbusha mbali aisee.

Na mvua hizi ngoja nitage ka second born fasta. lol
 
Mnyonyeshe tuu maziwa yako shosti usimpe mtoto chochote...kunywa maziwa ya ngombe fresh...supu ya moto....uji wa pilipili manga...kunywa maji ..jitahid kila baada ya muda unakula maziwa yko yanamtosha na yana virutubisho vyoote...
Jitahid unaweza
 
Kwa sababu ana homoni za kiume na angiwa mkubwa utamuona anaota ndevu. Shikamoo kwa usumbufu wa kuchelewa kukomenti.
 
........Huyo mtoto ana njaa sana. Mpe uji mlaini, atakuwa sawa tu.

Pretty bad advice.
Sio vizuri kumpa mtoto uji chini ya miezi sita.

Ntakasi hongera mwaya.
Ratiba yako ya kumnyonyesha ikoje?
Maziwa huwa yanajaa mpaka yanamwagika?

Kama huwa unampangia muda wa kunyonya (labda kila baada ya lisaa) usimpangie. Mnyonyeshe kila wakati ili maziwa nayo yaendelee kutengenezwa mwilini. Kama mama yako yupo kukusaidia that means unapata muda wa kutosha kupumzika. Utumie muda huo kukaa karibu na hako ka malaika, kakitaka nyonyo hata mara mia kwa siku we mpe.

Mwenyewe jitahidi kula vizuri mchanganyiko wa vyakula vyote na matunda. Usiishie kula vimiminika tu (uji/mtori/supu), hata kaugali/kawali laini na mboga nzuri ya majani+mchuzi ni nzuri sana. Utajisikia kushiba na maziwa mtoto atakayopata yatakuwa yanashika tumbo.
 
Last edited by a moderator:
Nipo na my mom nyumbani na wote tunajaribu kutafuta kitachowork huku tukiulizauliza kama hivi sababu tunakesha wote akicharuka usiku.....

Nimekuelewa nasikitika siko nyumbani vinginevyo ningejaribu kukusaidia.Kumbuka usijione mnyonge nina uwakika hio hali itapotea na kila kitu kitakuwa sawa na mtoto mungu atamjalia atakuwa vizuri
Kula sana matunda na vyakula vyepesi Mf Mtoli viazi vitamu na bila kusahau maziwa ya mbuzi au kondoo...
 
Its not clear umemuambia nini.

Assuming umemshauri anyonyeshewe mtoto, wewe utampa mtoto mtu akunyonyeshee just like that?

Achilia mbali maradhi ya siku hizi, personal hygiene?

Ulitaka kuongea nini?

Uwe una soma kabla ya kukulupuka
 
...pliz pliz pliz usimpe kitu chochote zaidi ya maziwa yako,jitahidi kula vizuri,mtori na vyakula laini ili maziwa yajae. Kamwe usimpe chakula chochote maana utamuathiri mtoto...

Ahsante kwa ushauri....
 
Nimekuelewa nasikitika siko nyumbani vinginevyo ningejaribu kukusaidia.Kumbuka usijione mnyonge nina uwakika hio hali itapotea na kila kitu kitakuwa sawa na mtoto mungu atamjalia atakuwa vizuri
Kula sana matunda na vyakula vyepesi Mf Mtoli viazi vitamu na bila kusahau maziwa ya mbuzi au kondoo...

Ahsante Sana Kwa Ushauri...
 
Back
Top Bottom