weny mashair yaoIli aweze kuwa pilot basi uza plot
mpeleke airport kashinde huko piga nae story wewe uwe msikilizaji.weny mashair yao
weny mashair yao
Hebu fika Airport Terminal 1 ulizia na utaelekezwa kwenye shule ya marubani.Amani iwe nanyi want JF..
Naomba kueleweshwa nifanyeje ili kijana apate mafunzo ya urubani.Nasikia gharama ni kubwa sana.. je pana uwezekano wa kupata ufadhili wa serikali au shirika lolote ili kijana huyu afikie ndoto yake?
Tafadhalini naomba ushauri.. Natanguliza shukurani zangu zamdhati.
Suala siyo umasikini au utajiri. Kubwa ni kujipanga na kuwajibika kwa watoto wetu ili tuwapeMasikini ndo huwa tunaishi kwa ndoto..matajiri wanacreate future za watoto wao
comments nyingine za kujifurahisha na dhihaka... bali kuna zenye ushauri mzuri sanaUmeonaje comment za watanzania wenzako wengi jinsi walivyo?
Dah Sasa kama hana uwezo huo Basi asahau au kuna njia nyingineFanya hivi, anza. Kuweka akiba nono kabisa. Kama unataka asome sehemu nzuri na awe rubani wa ndege za biashara andaa angalau 200M.
Fuga kuku au bata maana ndege ni ndege tu.... siyo maneno yangu mkuu nimeyakopi hpa hapa JF kwa member mmojaIli kua ndoto yang toka utoton Ila sasa nmegundua cwez kuifikia moja kwa moja kwan familia yangu n kipato cha kat haiwez mudu hilo sasa nataka nikasome engineering then nikija jitegemea na uchumi ukawa sawa ntaingia uko
I'm post waiter
Nitafanya hivyo, asante kwa ushauri huuHebu fika Airport Terminal 1 ulizia na utaelekezwa kwenye shule ya marubani.
keshakamilisha A level mwaka huuAna umri gani? Subiri subbiri tu aendelee na vidato atakuja kukwambia anataka kuwa language translator, kama unamuona yupo vizuri upstairs mshape mapema atimize ndoto yake.
Humu jamvini kuna 'cynics' wengi tu naomba wasikuondoe kwenye focus yako. Hebu ni pm nikupatie contact.Nitafanya hivyo, asante kwa ushauri huu