Mwanangu anatamani sana kuwa Pilot

Mwanangu anatamani sana kuwa Pilot

Kimisingi na kwa umaskini wa nchi yetu, watoto/vijana wengi tulikuwa na ndotoza kuwa marubani, hi ilisababishwa na ulofa wa kuona utamu wa yale madege kuruka juu tukawaza tuwe marudabani, kwa kadri umri unavyoongezeka na tumejiona tulikuwa maboya maana fani tulizonazo ni bora zaidi ya huo urubani. Muelimishe mwanao!! Kuwa pilot wa ndege ni sawa na kuwa dereva wa Bus tu, utofauti ni njia ya juu na chini.
 
Amani iwe nanyi want JF..
Naomba kueleweshwa nifanyeje ili kijana apate mafunzo ya urubani.Nasikia gharama ni kubwa sana.. je pana uwezekano wa kupata ufadhili wa serikali au shirika lolote ili kijana huyu afikie ndoto yake?
Tafadhalini naomba ushauri.. Natanguliza shukurani zangu zamdhati.
Hebu fika Airport Terminal 1 ulizia na utaelekezwa kwenye shule ya marubani.
 
Ilijkuwa ndoto yangu urubani saizi natengeneza application tu makazi yanhu stack overflow maisha haya.
 
Masikini ndo huwa tunaishi kwa ndoto..matajiri wanacreate future za watoto wao
Suala siyo umasikini au utajiri. Kubwa ni kujipanga na kuwajibika kwa watoto wetu ili tuwape
uwezo wa kutimiza ndoto zao.
 
Fanya hivi, anza. Kuweka akiba nono kabisa. Kama unataka asome sehemu nzuri na awe rubani wa ndege za biashara andaa angalau 200M.
Dah Sasa kama hana uwezo huo Basi asahau au kuna njia nyingine
 
Ili kua ndoto yang toka utoton Ila sasa nmegundua cwez kuifikia moja kwa moja kwan familia yangu n kipato cha kat haiwez mudu hilo sasa nataka nikasome engineering then nikija jitegemea na uchumi ukawa sawa ntaingia uko
I'm post waiter
Fuga kuku au bata maana ndege ni ndege tu.... siyo maneno yangu mkuu nimeyakopi hpa hapa JF kwa member mmoja
 
Ana umri gani? Subiri subbiri tu aendelee na vidato atakuja kukwambia anataka kuwa language translator, kama unamuona yupo vizuri upstairs mshape mapema atimize ndoto yake.
keshakamilisha A level mwaka huu
 
Afrika kutimiza ndoto kazi sana..
Mamvi alikuwa na ndoto za kuwa President zikamtesa sana..
Afrika tunafuata macho aisee..
Sema mpiganie dogo .
 
Back
Top Bottom