mwanangu wa miaka 6 anaumwa jino.linamsumbua hasa usiku. nimeenda hsptl kumtoa kutokana na usumbufu wa kuogopa sindano Dr kashauri asimtoe, jamani hakuna means yyt ya kufanya mpaka atolewe maana daktari alisema kumshika kwa nguvu nihatari pia. msaada wa mawazo pls.