Mwanangu anaumwa Jino

Mwanangu anaumwa Jino

Bi nyakomba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
385
Reaction score
104
mwanangu wa miaka 6 anaumwa jino.linamsumbua hasa usiku. nimeenda hsptl kumtoa kutokana na usumbufu wa kuogopa sindano Dr kashauri asimtoe, jamani hakuna means yyt ya kufanya mpaka atolewe maana daktari alisema kumshika kwa nguvu nihatari pia. msaada wa mawazo pls.
 
Amchome ketamine .. atalegea watoe jino. .
 
asanteni kwa ushauri njiwa n honey. ketamine ni ya usingizi njiwa au ni ya nn.thanx a lot
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom