kama huna cha kujibu kausha tu mkuuwaulize necta au moe
kwahiyo apo anaweza piga advance kwa result hizo.alafu kuna watu wananiambia anaweza kuchaguliwa katika selection zikitoka kama alichagua komb hizoHesabu imechafua kila kitu. Shule za serikali huwezi soma science ukiwa na F ya hesabu, labda private lakini itabidi a re-sit hesabu.
Anadaiwa credit moja (C or above) ili afanye mtihani wa F.6. kuwa na F ya hesabu, kusoma shule za private sio tatizo sana kwa sababu hajachagua comb. yenye hesabu. In short, atafute credit moja zaidi ili aje afanye mitihani ya adv. levelDiv 4 ya 26 BIO C CHEM C PHY D GEO D KISW D HIST D CIV D ISLAMIC D MATH F YEYE ANAPENDA ASOME PCB AU CBG nisaidieni shule ambayo itamchikua huyu mwanangu
Huhitaji kuwa na presha mkuu, hapa PCB imekubali bila mashaka yoyote. Mtayarishie tu mwanao pesa za maandalizi.Div 4 ya 26
BIO C
CHEM C
PHY D
GEO D
KISW D
HIST D
CIV D
ISLAMIC D
MATH F
YEYE ANAPENDA ASOME PCB AU CBG nisaidieni shule ambayo itamchikua huyu mwanangu
hasa mkuu unaweza kuniambia shule gani nzuri itamchukua hapoHuhitaji kuwa na presha mkuu, hapa PCB imekubali bila mashaka yoyote. Mtayarishie tu mwanao pesa za maandalizi.
nisaidie shule mkuu ambayo itamchukuaPrivat anasoma kama kawaida
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
PCB atapata,ila ajiandae la sivyo asipokaza anaweza akapata kubwa form 6
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Inategemea shule aliyochagua yeye. Zamani ulikuwa ukichagua combination, wizara inakupangia shule, siku hizi unachagua combination na shule pia.hasa mkuu unaweza kuniambia shule gani nzuri itamchukua hapo
nimeambiwa now hata credit mbili za komb ya science unasoma bila kutafuta c nyingine,Mmm...jaman dv 4 wanaeza pata gvnt xul..from wat i no dv 4 kupata gvnt xul ni ndoto n kwa prvt lazma crdt 3..lazma atafute credt 1 ili aweze kufanya necta form 6. Crdt 3 ni lazma ili kuweza kujiunga 4m 5.na credt hzo ziwe za somo lolote..ukiwa na hzo 3 utasoma any combination of ur choice
Huhitaji kuwa na presha mkuu, hapa PCB imekubali bila mashaka yoyote. Mtayarishie tu mwanao pesa za maandalizi.
Mm..kusoma advanc hata kama ni prvt lazma uwe na credit 3, yani C au B au A 3..au mfumo umebadilika