Mwanangu anaweza pata shule ya advance kwa matokeo haya

Mwanangu anaweza pata shule ya advance kwa matokeo haya

Sheko

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
280
Reaction score
26
Div 4 ya 26
BIO C
CHEM C
PHY D
GEO D
KISW D
HIST D
CIV D
ISLAMIC D
MATH F
YEYE ANAPENDA ASOME PCB AU CBG nisaidieni shule ambayo itamchikua huyu mwanangu
 
Hesabu imechafua kila kitu. Shule za serikali huwezi soma science ukiwa na F ya hesabu, labda private lakini itabidi a re-sit hesabu.
 
Hesabu imechafua kila kitu. Shule za serikali huwezi soma science ukiwa na F ya hesabu, labda private lakini itabidi a re-sit hesabu.
kwahiyo apo anaweza piga advance kwa result hizo.alafu kuna watu wananiambia anaweza kuchaguliwa katika selection zikitoka kama alichagua komb hizo
 
Mwanao kafanya vizuri mpereke private watampokea uzuri kafaulu masomo ya sayansi.
 
Div 4 ya 26 BIO C CHEM C PHY D GEO D KISW D HIST D CIV D ISLAMIC D MATH F YEYE ANAPENDA ASOME PCB AU CBG nisaidieni shule ambayo itamchikua huyu mwanangu
Anadaiwa credit moja (C or above) ili afanye mtihani wa F.6. kuwa na F ya hesabu, kusoma shule za private sio tatizo sana kwa sababu hajachagua comb. yenye hesabu. In short, atafute credit moja zaidi ili aje afanye mitihani ya adv. level
 
Div 4 ya 26
BIO C
CHEM C
PHY D
GEO D
KISW D
HIST D
CIV D
ISLAMIC D
MATH F
YEYE ANAPENDA ASOME PCB AU CBG nisaidieni shule ambayo itamchikua huyu mwanangu
Huhitaji kuwa na presha mkuu, hapa PCB imekubali bila mashaka yoyote. Mtayarishie tu mwanao pesa za maandalizi.
 
PCB atapata,ila ajiandae la sivyo asipokaza anaweza akapata kubwa form 6

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Privat anasoma kama kawaida

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Huhitaji kuwa na presha mkuu, hapa PCB imekubali bila mashaka yoyote. Mtayarishie tu mwanao pesa za maandalizi.
hasa mkuu unaweza kuniambia shule gani nzuri itamchukua hapo
 
Mm..kusoma advanc hata kama ni prvt lazma uwe na credit 3, yani C au B au A 3..au mfumo umebadilika
 
hasa mkuu unaweza kuniambia shule gani nzuri itamchukua hapo
Inategemea shule aliyochagua yeye. Zamani ulikuwa ukichagua combination, wizara inakupangia shule, siku hizi unachagua combination na shule pia.
 
Mmm...jaman dv 4 wanaeza pata gvnt xul..from wat i no dv 4 kupata gvnt xul ni ndoto n kwa prvt lazma crdt 3..lazma atafute credt 1 ili aweze kufanya necta form 6. Crdt 3 ni lazma ili kuweza kujiunga 4m 5.na credt hzo ziwe za somo lolote..ukiwa na hzo 3 utasoma any combination of ur choice
 
Wakuu anayeijua st anthony high school mbagala wanaweza kumchukua huyu mwanangu kusoma a-level
 
Mmm...jaman dv 4 wanaeza pata gvnt xul..from wat i no dv 4 kupata gvnt xul ni ndoto n kwa prvt lazma crdt 3..lazma atafute credt 1 ili aweze kufanya necta form 6. Crdt 3 ni lazma ili kuweza kujiunga 4m 5.na credt hzo ziwe za somo lolote..ukiwa na hzo 3 utasoma any combination of ur choice
nimeambiwa now hata credit mbili za komb ya science unasoma bila kutafuta c nyingine,
 
Huhitaji kuwa na presha mkuu, hapa PCB imekubali bila mashaka yoyote. Mtayarishie tu mwanao pesa za maandalizi.

mkuu umemdanganya mwenzako bana!ili mtu aweze kusoma kidato cha tano ni lazima awe na credits 3!!huyo hawez kusoma advanced level kwakua hajatimiza credits 3!
 
Mm..kusoma advanc hata kama ni prvt lazma uwe na credit 3, yani C au B au A 3..au mfumo umebadilika

good!ww ndo umejib vzr kuliko hawa wengine wanaomdanganya mwenzao tu!!..ili mtu asome fom5 ni lazima awe na credits 3 labda mfumo huo ubadilishwe mwaka huu!
 
Back
Top Bottom