Mwanangu anaweza pata shule ya advance kwa matokeo haya

Mboni nimeambiwa sasa mtu ukiwa na c mbili na d 5 unasoma advance bila kurisiti
 
Huhitaji kuwa na presha mkuu, hapa PCB imekubali bila mashaka yoyote. Mtayarishie tu mwanao pesa za maandalizi.

PCB na F ya Basic Mathematics??? sijawahi skia wala kuona....
 
Ngoja nimwambie atafute hilo kalai moja

USIMWAMBIE ATAFUTE KARAI MOJA MKUU Sheko , MWAMBIE DOGO AFANYE VIZURI KWA KILA SOMO ATAKALORUDIA NA AIPE HESABU KIPAUMBELE....
EPUKA KUMPELEKA TWISHENI ZA KIMJINIMJINI PIA
MTAFUTE MWALIMU WA SHULE KABSAA AFANYE NAE MARUDIO TARATIBU TANGU MWANZO WA SILABAS HADI MWISHO ILI KUMJENGEA UWEZO MKUBWA WA KUFANYA VIZURI. KURUDIA SI LELEMAMA ILA AKIZINGATIA KUFAULU PIA SI TATIZO
KILA LA HERI MKUU
 

Bado ni yale yale, unapochaguliwa kwenda kusoma CBG, maana yake umechaguliwa pia kwenda kusoma Basic Applied mathematics (B.A.M)
Utaendaje kusoma BAM wakati una F ya Basic? Criteria ya kuchaguliwa masomo ya sayansi kama PCB, CBG, CBA pamoja na kuwa na ufaulu wa masomo yenyewe lakin vile vile inabidi uwe umefaulu basic mathematics kwa kiwango cha angalau D kwenda juu. Ni sawa na mwanafunzi aliyesoma PGM alevel akapata AAA, hawezi kwenda university kusoma Engineering courses km alipata F ya Chemistry O'level.
 
Kiukweli hawezi kupata xul mpaka awe ana credit 3..ata akienda private bado mwisho wa cku hatoweza kufanya mtihani wa form 6
 

Mkuu shule za private wanachukua sayansi hata kama una F ya math, Hata selection za mwaka jana pia walichukua govt.
 
Mkuu shule za private wanachukua sayansi hata kama una F ya math, Hata selection za mwaka jana pia walichukua govt.

alafu mkuu nasikia hata katika selection mwaka jana walichukua wanafunzi walioscore ka mwanangu eti kweli hiyo!
 
Mkuu!
Kama mwanao anajiamini anaweza kusoma Form V private huku akiwa anaresit mtihani lkn watu wengi huwa wanafanya vibaya.

Ninavyoona una option mbili either aresit au akasoma vyuo vya utabibu.

NB: Ni vizuri ukimuuliza yeye anataka nini advance au chuo.
 
alafu mkuu nasikia hata katika selection mwaka jana walichukua wanafunzi walioscore ka mwanangu eti kweli hiyo!

Mkuu hapana, Mwaka jana mtoto wa my dada alipata div 3-24, yani alikuwa na B ya Bios na Chem na mengine yote D's lakin hakupangwa selection, Wakampeleka private xcul kwa sharti asome 4m5 huku anarisiti, Mwaka huu rzats zikatoka akapata credit 2 baada ya uchakataji lakin ameamua kurudia tena 4m5 mwaka huu ili awe kama xcul candidate ktk pepa la 4m6 hapo 2015.
 

mkuu anaweza piga diploma ya clinical officer hapo
 

mkubwa mm kwa ushauri wang ...kwann usimuulize anataka asomee fan gan akimaliza alevl ili umtafutie chuo amabcho kitakuwa na fani sawa na huyo asome diploma alaf anakuja soma degree ......anaweza soma a level akaja pata maks ambazo akashnda ingia chuo kikuu ......fikiria hlo kaka
 

ahsante mkuu kwa ushauri wako mzuri
 
Mkuu shule za private wanachukua sayansi hata kama una F ya math, Hata selection za mwaka jana pia walichukua govt.

kwa serikali yetu, kumchukua mwanafunzi akaome PCB huku akiwa na F ya math sishangai......elimu yetu ishaingiwa virusi...
 

sawa mkuu
 

credit tat znatakiwa ndio...lakn cdhan kama unaweza soma ECA kama una C ya history,civics,english and D book keepng and commerc na F ya hesabu...labda unifafanulie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…