Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huhitaji kuwa na presha mkuu, hapa PCB imekubali bila mashaka yoyote. Mtayarishie tu mwanao pesa za maandalizi.
PCB na F ya Basic Mathematics??? sijawahi skia wala kuona....
Ngoja nimwambie atafute hilo kalai moja
cbg je
Kiukweli hawezi kupata xul mpaka awe ana credit 3..ata akienda private bado mwisho wa cku hatoweza kufanya mtihani wa form 6
Bado ni yale yale, unapochaguliwa kwenda kusoma CBG, maana yake umechaguliwa pia kwenda kusoma Basic Applied mathematics (B.A.M)
Utaendaje kusoma BAM wakati una F ya Basic? Criteria ya kuchaguliwa masomo ya sayansi kama PCB, CBG, CBA pamoja na kuwa na ufaulu wa masomo yenyewe lakin vile vile inabidi uwe umefaulu basic mathematics kwa kiwango cha angalau D kwenda juu. Ni sawa na mwanafunzi aliyesoma PGM alevel akapata AAA, hawezi kwenda university kusoma Engineering courses km alipata F ya Chemistry O'level.
Mkuu shule za private wanachukua sayansi hata kama una F ya math, Hata selection za mwaka jana pia walichukua govt.
alafu mkuu nasikia hata katika selection mwaka jana walichukua wanafunzi walioscore ka mwanangu eti kweli hiyo!
Mkuu hapana, Mwaka jana mtoto wa my dada alipata div 3-24, yani alikuwa na B ya Bios na Chem na mengine yote D's lakin hakupangwa selection, Wakampeleka private xcul kwa sharti asome 4m5 huku anarisiti, Mwaka huu rzats zikatoka akapata credit 2 baada ya uchakataji lakin ameamua kurudia tena 4m5 mwaka huu ili awe kama xcul candidate ktk pepa la 4m6 hapo 2015.
USIMWAMBIE ATAFUTE KARAI MOJA MKUU Sheko , MWAMBIE DOGO AFANYE VIZURI KWA KILA SOMO ATAKALORUDIA NA AIPE HESABU KIPAUMBELE....
EPUKA KUMPELEKA TWISHENI ZA KIMJINIMJINI PIA
MTAFUTE MWALIMU WA SHULE KABSAA AFANYE NAE MARUDIO TARATIBU TANGU MWANZO WA SILABAS HADI MWISHO ILI KUMJENGEA UWEZO MKUBWA WA KUFANYA VIZURI. KURUDIA SI LELEMAMA ILA AKIZINGATIA KUFAULU PIA SI TATIZO
KILA LA HERI MKUU
mkubwa mm kwa ushauri wang ...kwann usimuulize anataka asomee fan gan akimaliza alevl ili umtafutie chuo amabcho kitakuwa na fani sawa na huyo asome diploma alaf anakuja soma degree ......anaweza soma a level akaja pata maks ambazo akashnda ingia chuo kikuu ......fikiria hlo kaka
Mkuu shule za private wanachukua sayansi hata kama una F ya math, Hata selection za mwaka jana pia walichukua govt.
Mkuu!
Kama mwanao anajiamini anaweza kusoma Form V private huku akiwa anaresit mtihani lkn watu wengi huwa wanafanya vibaya.
Ninavyoona una option mbili either aresit au akasoma vyuo vya utabibu.
NB: Ni vizuri ukimuuliza yeye anataka nini advance au chuo.
Mboni nimeambiwa sasa mtu ukiwa na c mbili na d 5 unasoma advance bila kurisiti
Mmm...jaman dv 4 wanaeza pata gvnt xul..from wat i no dv 4 kupata gvnt xul ni ndoto n kwa prvt lazma crdt 3..lazma atafute credt 1 ili aweze kufanya necta form 6. Crdt 3 ni lazma ili kuweza kujiunga 4m 5.na credt hzo ziwe za somo lolote..ukiwa na hzo 3 utasoma any combination of ur choice