Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Si nyie mnachukia shule za Ems, sasa tafuteni hizo mboleaWakuu dogo saivi yuko la pili...hachangamki kabisa...ni mtu wa kukaa pekee yake ...anaweza akacheza kidogo tu nawenzake halafu aka achana nao mda huohuo
Nishamuuliza sana ana tatizo gani mbona anakuwa mpole sana?ila anasema hana tatizo tu,,,kingine anakuwa na mawazo sana hadi mwalimu wake ashawahi kuniita kuniuliza...lakini nikamwambia hana tatizo..
Dogo kuna siku alikuwa na mawazo sana ...ikabidi nimuulize shida ndio akaniambia ametumwa shuleni mbolea...nikahisi tu huyu walimu wanamchapa sana...asa mbolea anatoa wp mtoto wa darasa la pili.
Mbolea?Wakuu dogo saivi yuko la pili...hachangamki kabisa...ni mtu wa kukaa pekee yake ...anaweza akacheza kidogo tu nawenzake halafu aka achana nao mda huohuo
Nishamuuliza sana ana tatizo gani mbona anakuwa mpole sana?ila anasema hana tatizo tu,,,kingine anakuwa na mawazo sana hadi mwalimu wake ashawahi kuniita kuniuliza...lakini nikamwambia hana tatizo..
Dogo kuna siku alikuwa na mawazo sana ...ikabidi nimuulize shida ndio akaniambia ametumwa shuleni mbolea...nikahisi tu huyu walimu wanamchapa sana...asa mbolea anatoa wp mtoto wa darasa la pili.
Dogo genius huyo muache, hata Albert Einstein alikuwa dizainiWakuu dogo saivi yuko la pili...hachangamki kabisa...ni mtu wa kukaa pekee yake ...anaweza akacheza kidogo tu nawenzake halafu aka achana nao mda huohuo
Nishamuuliza sana ana tatizo gani mbona anakuwa mpole sana?ila anasema hana tatizo tu,,,kingine anakuwa na mawazo sana hadi mwalimu wake ashawahi kuniita kuniuliza...lakini nikamwambia hana tatizo..
Dogo kuna siku alikuwa na mawazo sana ...ikabidi nimuulize shida ndio akaniambia ametumwa shuleni mbolea...nikahisi tu huyu walimu wanamchapa sana...asa mbolea anatoa wp mtoto wa darasa la pili.
Yumkini ana haiba ya aina hiyo, na pengine atakuja kubadilika hapo mbeleni. Watu hubadilika mpe muda, mpe uhuru kiasi na endelea kumfuatilia. Watu wengi walio wakimya tangu utoto huchukuliwa kama mazoba lakini ni kuna namna fulani Mungu amewapa vipawa vya pekeee hujitokeza baadae.Wakuu dogo saivi yuko la pili...hachangamki kabisa...ni mtu wa kukaa pekee yake ...anaweza akacheza kidogo tu nawenzake halafu aka achana nao mda huohuo
Nishamuuliza sana ana tatizo gani mbona anakuwa mpole sana?ila anasema hana tatizo tu,,,kingine anakuwa na mawazo sana hadi mwalimu wake ashawahi kuniita kuniuliza...lakini nikamwambia hana tatizo..
Dogo kuna siku alikuwa na mawazo sana ...ikabidi nimuulize shida ndio akaniambia ametumwa shuleni mbolea...nikahisi tu huyu walimu wanamchapa sana...asa mbolea anatoa wp mtoto wa darasa la pili.
Wanaondoa hali yake ya kujiamini wanamtengeneza awe muoga muoga ndio elimu ile ya kidumu mfagio ilivyonikahisi tu huyu walimu wanamchapa sana...asa mbolea anatoa wp mtoto wa darasa la pili.
Kaa naye vizuri atakueleza yote anayowazaikabidi nimuulize shida
Ameanza lini hiyo tabia?Wakuu dogo saivi yuko la pili...hachangamki kabisa...ni mtu wa kukaa pekee yake ...anaweza akacheza kidogo tu nawenzake halafu aka achana nao mda huohuo
Nishamuuliza sana ana tatizo gani mbona anakuwa mpole sana?ila anasema hana tatizo tu,,,kingine anakuwa na mawazo sana hadi mwalimu wake ashawahi kuniita kuniuliza...lakini nikamwambia hana tatizo..
Dogo kuna siku alikuwa na mawazo sana ...ikabidi nimuulize shida ndio akaniambia ametumwa shuleni mbolea...nikahisi tu huyu walimu wanamchapa sana...asa mbolea anatoa wp mtoto wa darasa la pili.
Introvert huyo.Wakuu dogo saivi yuko la pili...hachangamki kabisa...ni mtu wa kukaa pekee yake ...anaweza akacheza kidogo tu nawenzake halafu aka achana nao mda huohuo
Nishamuuliza sana ana tatizo gani mbona anakuwa mpole sana?ila anasema hana tatizo tu,,,kingine anakuwa na mawazo sana hadi mwalimu wake ashawahi kuniita kuniuliza...lakini nikamwambia hana tatizo..
Dogo kuna siku alikuwa na mawazo sana ...ikabidi nimuulize shida ndio akaniambia ametumwa shuleni mbolea...nikahisi tu huyu walimu wanamchapa sana...asa mbolea anatoa wp mtoto wa darasa la pili.
Mimi ninahizo tabia pia...ni mpole,mkimya lakini yeye kapitiliza hadi naogopaMtakua wazazi wakali
Hana shida ya akili,, toka kaziliwa ndio yuko hivoAmeanza lini hiyo tabia?
Hana autism?
Anambaka?Ukute kuna mtu ana mbully na kusema anashindwa
-Maybe wenzake wanambagua?Wakuu dogo saivi yuko la pili...hachangamki kabisa...ni mtu wa kukaa pekee yake ...anaweza akacheza kidogo tu nawenzake halafu aka achana nao mda huohuo
Nishamuuliza sana ana tatizo gani mbona anakuwa mpole sana?ila anasema hana tatizo tu,,,kingine anakuwa na mawazo sana hadi mwalimu wake ashawahi kuniita kuniuliza...lakini nikamwambia hana tatizo..
Dogo kuna siku alikuwa na mawazo sana ...ikabidi nimuulize shida ndio akaniambia ametumwa shuleni mbolea...nikahisi tu huyu walimu wanamchapa sana...asa mbolea anatoa wp mtoto wa darasa la pili.
😹😹😹 Nna mbolea ya nguruwe waje wachukue…Si nyie mnachukia shule za Ems, sasa tafuteni hizo mbolea