Mwanangu hachangamki

Mwanangu hachangamki

[emoji81][emoji81][emoji81] Nna mbolea ya nguruwe waje wachukue…

Huyo mtoto kuna kitu anapitia kikubwa, kuna kitu kafanyiwa inahitaji mtu aliyemzoea kumuuliza..!!
Mkuu mtafute inbox yake aje kuchukua hiyo mbolea ya nguruwe kwako, si hawapendi gharama za Ems
 
Inaonekana dogo kuna vitu anavipitia na anaogopa kuzungumza. jaribu utengeneze ukaribu na urafiki na yeye labda anaweza kukwambia
 
Ongeza muda wa kukaa na mtoto, cheza naye michezo mbalimbali unapokuwa naye karibu... Ukimuuliza swali asipokujibu usimlazimishe akujibu hapohapo, au ukiona hajakujibu muulize kwa namna nyingine...
Ukweli ni kwamba mtoto wako ana jambo linalo msumbua kisaikolojia, inawezekana ni wewe mwenyew mkeo au watu wa hapo nyumban kwako na majirani au huko shuleni kuna shida...
Njia pekee ya kumsaidia ni kuwa naye karibu sana akijenga imani na urafiki na wewe basi ataanza kukuambia mambo yake...
 
Kama yupo shule za serikali chunguza maisha yake Kuna case nyingi huko za watoto ku bull wengine na vitendo vya kipuuzi

Ikiwezekana mwamishe shule mpeleke shule ingine halafu angalia Hali yake
 
Huyo ni mtumishi wa Mungu, mpeleke madhabauni mapema. Mungu atasema naye sana na ataokoa kizazi chenu. Ni kina Musa hao.

Hesabu 12:3
[3]Basi huyo mtu, huyo Musa, alikuwa mpole sana zaidi ya wanadamu wote waliokuwa juu ya uso wa nchi.
upole na ukimya n vitu tofauti
 
Jitaidi mtoke na mwanao muende kwenye mazingira mapya...mazuri mnunuliee chakula kizuri anachopenda pia mletee zawadi kama nguo, viatu au vile vitu anavyopenda. Ukishampaa...muulize kwa upole na kwa upendo na uchangamfu.. kuwa ana tatizo gani . Naamini atakuwa huru kuwaeleze akikisha mnakuwa wazazi wote wawili
Wakuu dogo saivi yuko la pili...hachangamki kabisa...ni mtu wa kukaa pekee yake ...anaweza akacheza kidogo tu nawenzake halafu aka achana nao mda huohuo
Nishamuuliza sana ana tatizo gani mbona anakuwa mpole sana?ila anasema hana tatizo tu,,,kingine anakuwa na mawazo sana hadi mwalimu wake ashawahi kuniita kuniuliza...lakini nikamwambia hana tatizo..

Dogo kuna siku alikuwa na mawazo sana ...ikabidi nimuulize shida ndio akaniambia ametumwa shuleni mbolea...nikahisi tu huyu walimu wanamchapa sana...asa mbolea anatoa wp mtoto wa darasa la pili.
 
Mchunguze labda ana autism kwa mbali
 
watu tumeumbwa tofauti cha muhimu endelea kumfatilia ni mpole wa tabia ama kuna jambo linamfanya kuwa mpole

kwenye makuzi yetu katika familia mama alikuwa anatukazia kwa kutwambia hakuna kutawaliwa na mtu wala kumfata mtu kama bendera

matokeo yake hata wale ndugu wapole walikuwa viongozi wa matukio yote hata ya kugoma shule

mwelekeze dogo aache uzembe
 
Jenga ukaribu wa kirafiki na mwanao.

Walimu wanataka mbolea gani NPK,CAN,Urea
 
Wakuu dogo saivi yuko la pili...hachangamki kabisa...ni mtu wa kukaa pekee yake ...anaweza akacheza kidogo tu nawenzake halafu aka achana nao mda huohuo
Nishamuuliza sana ana tatizo gani mbona anakuwa mpole sana?ila anasema hana tatizo tu,,,kingine anakuwa na mawazo sana hadi mwalimu wake ashawahi kuniita kuniuliza...lakini nikamwambia hana tatizo..

Dogo kuna siku alikuwa na mawazo sana ...ikabidi nimuulize shida ndio akaniambia ametumwa shuleni mbolea...nikahisi tu huyu walimu wanamchapa sana...asa mbolea anatoa wp mtoto wa darasa la pili.
Mkuu mtoto anza kucheza nae wewe ,mpeleke bembea akacheze huko atoe uoga kwanza.
 
Muwaishe kwa mwamposa na safina radio fm akaombewe atakuwa mchanagmvu balaa
 
Wakuu dogo saivi yuko la pili...hachangamki kabisa...ni mtu wa kukaa pekee yake ...anaweza akacheza kidogo tu nawenzake halafu aka achana nao mda huohuo
Nishamuuliza sana ana tatizo gani mbona anakuwa mpole sana?ila anasema hana tatizo tu,,,kingine anakuwa na mawazo sana hadi mwalimu wake ashawahi kuniita kuniuliza...lakini nikamwambia hana tatizo..

Dogo kuna siku alikuwa na mawazo sana ...ikabidi nimuulize shida ndio akaniambia ametumwa shuleni mbolea...nikahisi tu huyu walimu wanamchapa sana...asa mbolea anatoa wp mtoto wa darasa la pili.

huyo dogo ni introverted genius!
 
Kama yupo shule za serikali chunguza maisha yake Kuna case nyingi huko za watoto ku bull wengine na vitendo vya kipuuzi

Ikiwezekana mwamishe shule mpeleke shule ingine halafu angalia Hali yake
Shule za serikali au st kayumba hazikosekani bullying maana ni mchanganyiko Wa watoto tabaka la kati na chini. Kwa hiyo tabia za ubabe na uonevu ni kawaida na kama mtoto ndio mpole kupitiliza halafu hana advantage ya watu kujipendekeza kwake kama akili, pesa ama kipaji hususani cha mpira.

Hapo lazma asumbuliwe sana
 
Kuna mawili

Kuna mtoto ambaye toka utoto wake si mchangamfu. Kama issue ni hii bhasi hakuna tatizo sana

Ila kama ni mchangamfu Ila amepoa ghafla au la ni mpole Ila unhone kuna dalili za kunyongea ama kukosa furaha hapo tatizo lipo
 
Back
Top Bottom