Mkuu mtafute inbox yake aje kuchukua hiyo mbolea ya nguruwe kwako, si hawapendi gharama za Ems[emoji81][emoji81][emoji81] Nna mbolea ya nguruwe waje wachukue…
Huyo mtoto kuna kitu anapitia kikubwa, kuna kitu kafanyiwa inahitaji mtu aliyemzoea kumuuliza..!!
Duuuh tatzo hiloMimi ninahizo tabia pia...ni mpole,mkimya lakini yeye kapitiliza hadi naogopa
Ni kweli ila ikizidi sana ni tatizoDogo genius huyo muache, hata Albert Einstein alikuwa dizaini
upole na ukimya n vitu tofautiHuyo ni mtumishi wa Mungu, mpeleke madhabauni mapema. Mungu atasema naye sana na ataokoa kizazi chenu. Ni kina Musa hao.
Hesabu 12:3
[3]Basi huyo mtu, huyo Musa, alikuwa mpole sana zaidi ya wanadamu wote waliokuwa juu ya uso wa nchi.
Wanambaka?😹😹😹 Nna mbolea ya nguruwe waje wachukue…
Huyo mtoto kuna kitu anapitia kikubwa, kuna kitu kafanyiwa inahitaji mtu aliyemzoea kumuuliza..!!
Wanambaka?Ni kweli ila ikizidi sana ni tatizo
Wakuu dogo saivi yuko la pili...hachangamki kabisa...ni mtu wa kukaa pekee yake ...anaweza akacheza kidogo tu nawenzake halafu aka achana nao mda huohuo
Nishamuuliza sana ana tatizo gani mbona anakuwa mpole sana?ila anasema hana tatizo tu,,,kingine anakuwa na mawazo sana hadi mwalimu wake ashawahi kuniita kuniuliza...lakini nikamwambia hana tatizo..
Dogo kuna siku alikuwa na mawazo sana ...ikabidi nimuulize shida ndio akaniambia ametumwa shuleni mbolea...nikahisi tu huyu walimu wanamchapa sana...asa mbolea anatoa wp mtoto wa darasa la pili.
Mchunguze labda ana autism kwa mbaliWakuu dogo saivi yuko la pili...hachangamki kabisa...ni mtu wa kukaa pekee yake ...anaweza akacheza kidogo tu nawenzake halafu aka achana nao mda huohuo
Nishamuuliza sana ana tatizo gani mbona anakuwa mpole sana?ila anasema hana tatizo tu,,,kingine anakuwa na mawazo sana hadi mwalimu wake ashawahi kuniita kuniuliza...lakini nikamwambia hana tatizo..
Dogo kuna siku alikuwa na mawazo sana ...ikabidi nimuulize shida ndio akaniambia ametumwa shuleni mbolea...nikahisi tu huyu walimu wanamchapa sana...asa mbolea anatoa wp mtoto wa darasa la pili.
Anambaka?
Mkuu mtoto anza kucheza nae wewe ,mpeleke bembea akacheze huko atoe uoga kwanza.Wakuu dogo saivi yuko la pili...hachangamki kabisa...ni mtu wa kukaa pekee yake ...anaweza akacheza kidogo tu nawenzake halafu aka achana nao mda huohuo
Nishamuuliza sana ana tatizo gani mbona anakuwa mpole sana?ila anasema hana tatizo tu,,,kingine anakuwa na mawazo sana hadi mwalimu wake ashawahi kuniita kuniuliza...lakini nikamwambia hana tatizo..
Dogo kuna siku alikuwa na mawazo sana ...ikabidi nimuulize shida ndio akaniambia ametumwa shuleni mbolea...nikahisi tu huyu walimu wanamchapa sana...asa mbolea anatoa wp mtoto wa darasa la pili.
Wakuu dogo saivi yuko la pili...hachangamki kabisa...ni mtu wa kukaa pekee yake ...anaweza akacheza kidogo tu nawenzake halafu aka achana nao mda huohuo
Nishamuuliza sana ana tatizo gani mbona anakuwa mpole sana?ila anasema hana tatizo tu,,,kingine anakuwa na mawazo sana hadi mwalimu wake ashawahi kuniita kuniuliza...lakini nikamwambia hana tatizo..
Dogo kuna siku alikuwa na mawazo sana ...ikabidi nimuulize shida ndio akaniambia ametumwa shuleni mbolea...nikahisi tu huyu walimu wanamchapa sana...asa mbolea anatoa wp mtoto wa darasa la pili.
Shule za serikali au st kayumba hazikosekani bullying maana ni mchanganyiko Wa watoto tabaka la kati na chini. Kwa hiyo tabia za ubabe na uonevu ni kawaida na kama mtoto ndio mpole kupitiliza halafu hana advantage ya watu kujipendekeza kwake kama akili, pesa ama kipaji hususani cha mpira.Kama yupo shule za serikali chunguza maisha yake Kuna case nyingi huko za watoto ku bull wengine na vitendo vya kipuuzi
Ikiwezekana mwamishe shule mpeleke shule ingine halafu angalia Hali yake
samadi kwa ajili ya kupandia maua shuleniJenga ukaribu wa kirafiki na mwanao.
Walimu wanataka mbolea gani NPK,CAN,Urea